Haya ndio matokeo yangu kidato cha VI&DIPLOMA.

Hivi wakati unasoma ulikuwa na stress au? Ulikosaje GPA 3 MKUU? Sasa kama diploma ulipata hivyo je degree si utapata 1.8 na utakuja tena kuomba tukushauri?

Katika vitu ambavyo nilikomaa navyo ni GPA Isiwe below 3.3 japo nilisoma kwa shida sana na nilishindia 1000 ped day.

Ushauri katafute D nyingine. Sema huyu mama hakawii kusema hataki vyeti vya kuungaunga
 
Mkuu , diploma tena ya course za art subject una gpa ya 2.9 pole sna sna unaonekana ulikua unapenda kuuuza sura chuo na kubadil wanawake
 
kaka usizunguke sana subiri mwakani ufanye mtihani wa RPL ukifaulu unakwenda chuo moja kwa moja, mtihani huo upo kwa wale ambao hawana sifa but wamekaa kazini atleast miaka 3, ndio mtihani alioufanya Eric shigongo na sasa hivi ndo anaenda chuo so usikate tamaa brother , pambana wewe bado kijana mdogo tu , Mung akubariki sana kaka
 
Amina sana mpendwa, wacha nijiandae kwa hill mkuu
 
Nenda Uganda mzee baba ada being chee ila lazima upige paper yao ya mature entry course ni ngumu ila ukikomaa unatoboa below 50%
Ada 1.6ml per semester
Other fee 870000 first sermister
 
Back
Top Bottom