Haya ndio matokeo yangu kidato cha VI&DIPLOMA.

Haya ndio matokeo yangu kidato cha VI&DIPLOMA.

Asante Mkuu usinichoke, hii inapatikana wapi? Je ni chuoni moja kwa moja au tume ya vyuo vikuu, sorry
inatambulika tcu na mitihani ufanyika SUA na UDOM kwingine sijapata info jaribu kupitia website za hivyo vyuo....
 
Mkuu ngoja nikuweke sawa,mitayari nina diploma ya sheria ya GPA Ya 2.9 na kidato cha sita nina dvn 3 ya 14 hivo naomba namna ya kwenda chuo kikuu ndugu
Rudia diploma ya community development ni rahisi kukuvusha mkuu.
Mkuu ngoja nikuweke sawa,mitayari nina diploma ya sheria ya GPA Ya 2.9 na kidato cha sita nina dvn 3 ya 14 hivo naomba namna ya kwenda chuo kikuu ndugu
 
Amani iwe kwenu wapendwa,


nilikuwa na malengo ya kuanza masomo yangu ya elimu ya chuo kikuu mwaka huu lakini kutokana na matokeo yangu na kuongezwa kwa alama za kujiunga na chuo kikuu nimekosa cha kufanya wapendwa naomba mnipanue mawazo kwa hili

Kidato cha sita nina daraja la tatu pointi 14 yaani nina DEE Masomo ya sanaa na wakati huo chuo kikuu wanataka D mbili

Diploma yangu ya sheria nina GPA ya 2.9 ambapo ili ujiunge na chuo wanataka GPA Ya 3, ikumbukwe kuwa waziri wa katiba na sheria ametupa muda wa miaka mitano mahakimu wote wenye diploma tuwe tumejiendeleza,je nifanyeje wapendwa, naona kama kazi yangu inaenda kunikimbia
Kuanzia sasa kila mwezi chukua 60% ya mshahara wako na uiweke kama ukuzaji wa mtaji kwa biashara ama kilimo ili siku ukitimuliwa utakua una miguu ya kutembea na usikubali kuendeshwa na matukio bali wewe ndo uendeshe matuki ...AHSANTE
 
Duuh sasa mnatupa Kazi ngumu nyie jamaa
Hizo GPA tunajua sio ishara ya uelewa ila linapokuja suala la kitaaluma aisee ulitakiwa kutusua hata 3.8 tu sasa ona unataka tushiriki kukushauri kitu ambacho hakiwezekani

Labda nenda urudie paper la six upate principal pass moja wanayotaka ili ziwe D mbili

Ila six msuli wake sina hamu nao kabisa[emoji23] [emoji23]
Msuli wa six ni hatari tena wa PCB na CBG
 
Jitahidi rudia mtihani wa Advance we komaa Mungu yupo utatoka ndugu yangu usiwaze sana usome kama burudani na umutangulize Mungu katika yote utatoka maisha haya siyo ya kuchoka kutafuta
 
rudia mtihani wa kidato cha sita mkuu.,...soma kwa bidii tena miaka 2 kwa uhakika....utafanikiwa !!!
 
Rudia mitihani ya kidato cha 6,wanataka usajili zaidi ya masomo matatu na unaweza kufanya masomo mawili.
Kama una credit ya History basi inabidi ukaze kwenye Kiswahili na English.
 
Kuna mtu anadegree sasa hivi, form six alikuwa na three yabpoint 16 kitu kama principle E mbil na sub S mbili it means 3 cat of point " ilikuaje akafanga degree huyu wadau
Huyu posibly itakuwa alifanya pre university studies kama walivyokuwa wanafanya chuo cha Saut. Nimeisahau hiyo course jina. Ilikuwa inaanza mwezi wa 7 mpaka wa 10 then wanapangiwa vyuo(campuses)
 
Mkuu Fanya makadrio hiyo no hesabu rahisi sana ukienda pale TCU watafanya 2.9=3.0
 
Kakuzalisha na kukuacha nini, maana naona jamaa umemweka kichwani kuliko hata mama yako
Kwahiyo na wewe umedhihirisha baada ya kumzalisha huyo na kumuacha ndio ameweka kambi kwako ndio maana akitajwa unachukia sana??

Nyie wake wenza mnakuwaga na matatizo sana!
 
Kwahiyo na wewe umedhihirisha baada ya kumzalisha huyo na kumuacha ndio ameweka kambi kwako ndio maana akitajwa unachukia sana??

Nyie wake wenza mnakuwaga na matatizo sana!
Naona unyumbu umekukolea mpaka umeanza kutukana baba zako
 
Back
Top Bottom