Haya ndio matokeo yangu kidato cha VI&DIPLOMA.

Kuna mtu anadegree sasa hivi, form six alikuwa na three yabpoint 16 kitu kama principle E mbil na sub S mbili it means 3 cat of point " ilikuaje akafanga degree huyu wadau
 
Asante sana Mkuu, vipi nikisema kurudia mtihani wa kidato cha sita?
Kwa experience possibility ya kupata credit ukirudia mtihani ni ndogo,kama unajiamini rudia but ukisoma diploma possibility ni kubwa kupata hiyo GPA
 
Amani iwe kwenu wapendwa,

nilikuwa na malengo ya kuanza masomo yangu ya elimu ya chuo kikuu mwaka huu lakini kutokana na matokeo yangu na kuongezwa kwa alama za kujiunga na chuo kikuu nimekosa cha kufanya wapendwa naomba mnipanue mawazo kwa hili

Kidato cha sita nina daraja la tatu pointi 14 yaani nina DEE Masomo ya sanaa na wakati huo chuo kikuu wanataka D mbili

Diploma yangu ya sheria nina GPA ya 2.9 ambapo ili ujiunge na chuo wanataka GPA Ya 3, ikumbukwe kuwa waziri wa katiba na sheria ametupa muda wa miaka mitano mahakimu wote wenye diploma tuwe tumejiendeleza,je nifanyeje wapendwa, naona kama kazi yangu inaenda kunikimbia
Karudie Arts unafaulu fresh tu six
 
Kuna mtu anadegree sasa hivi, form six alikuwa na three yabpoint 16 kitu kama principle E mbil na sub S mbili it means 3 cat of point " ilikuaje akafanga degree huyu wadau
Zaman na E mbili ulikua unaruhusiwa ila sasa hivi ndalichako amefuta mambo hayo anataka D mbili na si vinginevyo
 
Kuna mtu anadegree sasa hivi, form six alikuwa na three yabpoint 16 kitu kama principle E mbil na sub S mbili it means 3 cat of point " ilikuaje akafanga degree huyu wadau
Hiyo ni zamani mkuu, sasa hivi vigezo vya udahili vimebadilishwa.
Nadhani ni kutokana na ongezeko la wanafunzi pia naona ishu ya mikopo inaumiza kichwa serikali.
 
Rudia six kama private candidate utatusua, ukiwa tayari nishtue nikwambie material ambayo utatumia kusoma.
Mkuu Niko tayari kuanza.nategemea mwaka huu nijisajili mwaka kesho nifanye mtihani na ikiwezekana mwaka huo niunge university hebu nisaidie ndugu
 
Amani iwe kwenu wapendwa,

nilikuwa na malengo ya kuanza masomo yangu ya elimu ya chuo kikuu mwaka huu lakini kutokana na matokeo yangu na kuongezwa kwa alama za kujiunga na chuo kikuu nimekosa cha kufanya wapendwa naomba mnipanue mawazo kwa hili

Kidato cha sita nina daraja la tatu pointi 14 yaani nina DEE Masomo ya sanaa na wakati huo chuo kikuu wanataka D mbili

Diploma yangu ya sheria nina GPA ya 2.9 ambapo ili ujiunge na chuo wanataka GPA Ya 3, ikumbukwe kuwa waziri wa katiba na sheria ametupa muda wa miaka mitano mahakimu wote wenye diploma tuwe tumejiendeleza,je nifanyeje wapendwa, naona kama kazi yangu inaenda kunikimbia
Jaribu kutafuta vyuo vya nje ya Tanzania hata za nchi jirani utasoma mpaka PhD
 
Jaribu kutafuta vyuo vya nje ya Tanzania hata za nchi jirani kama utasoma mpaka PhD
Je Nazi niliyo Nayo Inakuwaje make nimeajiliwa serikalin, vipi mkopo kwa vyuo va nje naweza pata? Ua hata wadhamini naweza pata?
 
Source of fund inabidi utafute mwenyewe. wadhamini ni kutafuta japo mara nyingi udhamini kuna ushindani inayoambatana na masharti ya ufaulu wa kiwango fulani.

Kama umeajiriwa unaweza kukopa bank na ukaomba ruhusa ya masomo ukaenda kusoma nchi hata iliyo karibu na Tanzania

Kuna baadhi ya nchi watu wanajiunga chuo kikuu wakimaliza form four manake hutahitaji matokeo ya Form six
 
Mkaruka kuna chochote kibaya nilicho kufanyia?
Mimi ni mwanaume na sijawahi kushiriki matendo ya kishoga, ila jua tu umenidhalilisha na kunifedhehesha sana
Sidhani kama ni busara kulumbana na asiye na busara, ni sawa na watu wawili wanaogombana kwa lugha mbili tofauti. Mwache ana Kazi maalum na analipwa kwa Kazi hiyo. Kama mtu muungwana siyo vizuri kumharibia mwenzio kibarua chake hata kama hicho kibarua kinamdhalilisha.
 
Kuna mtu anadegree sasa hivi, form six alikuwa na three yabpoint 16 kitu kama principle E mbil na sub S mbili it means 3 cat of point " ilikuaje akafanga degree huyu wadau
Huyo itakuwa kipindi cha JK, kwani hata mimi nimesoma degree na div3
 
Back
Top Bottom