Haya ndio matokeo yangu kidato cha VI&DIPLOMA.

Reseat f6 kwa uchungu utafaulu.
Usiogope walimu was masomo yako wamejazana mtaani.
Usijali hata kama uliwaweka jela ndugu zao, watz tunajua kusamehe watakusaidia tu.
 
Rudia mitihani ya kidato cha 6,wanataka usajili zaidi ya masomo matatu na unaweza kufanya masomo mawili.
Kama una credit ya History basi inabidi ukaze kwenye Kiswahili na English.
Ni kweli Mkuu Nina pasi ya history, then inaruhusiwa kurudia masomo mawili? Na usajili chuo kikuu unasajiri kwa kutumia namba IPI ya chet, make ntakuwa na vyeti mbili
 
Reseat f6 kwa uchungu utafaulu.
Usiogope walimu was masomo yako wamejazana mtaani.
Usijali hata kama uliwaweka jela ndugu zao, watz tunajua kusamehe watakusaidia tu.
Nimeipenda hii Mkuu,[emoji23]
 
Ni kweli Mkuu Nina pasi ya history, then inaruhusiwa kurudia masomo mawili? Na usajili chuo kikuu unasajiri kwa kutumia namba IPI ya chet, make ntakuwa na vyeti mbili

Unatumia namba zote mbili,weka masomo matatu halafu usome mawili. Kiswahili na English au unaweza kusoma yote matatu.
 
Mi nakushaur rudia mtihani WA kidato cha sita uki concetrate vizr unatoka tu,ili uende moja kwa moja degree,kuliko uende diploma wakati hyo inachukua muda mref kuliko ukirudia pepa,Mimi pia Niko chuo kwa sasa najiendeleza lkn kidato cha sits ckupataga hizo D2 nkarudia pepa nkapataBBC nikaomba chuo kwa urahic kabisaaa,ushaur rudia pepa
 
Na nilikuwa na diploma ya GPA2.8 Nikawa cna vigezo nkarudia pepa mungu c at human nkafauru vzr kabisaa,uckate tamaa mungu yupo na anatazama hitaji LA moyo wako atakutetea na kukusaidia tu (ucvunjike moyo) na nakuombea ucbadili mawazo ya kusoma
 
Ubarikiwe Mkuu, kwa nanma najijua lazima mungu ataweka nguvu zake na ntafaulu kwa nguvu zake.
 
Mi nakushaur rudia mtihani WA kidato cha sita uki concetrate vizr unatoka tu,ili uende moja kwa moja degree,kuliko uende diploma wakati hyo inachukua muda mref kuliko ukirudia pepa,Mimi pia Niko chuo kwa sasa najiendeleza lkn kidato cha sits ckupataga hizo D2 nkarudia pepa nkapataBBC nikaomba chuo kwa urahic kabisaaa,ushaur rudia pepa
...dah ushauri mzuri ngoja niufanyie kazi maana na mm nilimaliza 4m 6 mwaka jana sasa nilikuwa na E3 nipo nasongoka sasa
 
Out 5 Mr. Thus it means that I missed 2.1 GPA to have 5
kumbe na sheria nayo ni ngumu eti, usitegemee hiyo taaluma tu katika kukusukuma kimaisha, kama ni vigezo ya kusoma degree tayari umeishavikosa hilo halima mjadala wala huwezi kujilaumu vya pga ndogo, cha kufanya ni kuangalia upande wa pili wa shilingi, ili siku upande mmoja ukigoma unageukia wa pili.
 
Mkuu ngoja nikuweke sawa,mitayari nina diploma ya sheria ya GPA Ya 2.9 na kidato cha sita nina dvn 3 ya 14 hivo naomba namna ya kwenda chuo kikuu ndugu

Form six div 3 ilikuwa ujiunge na chuo kikuu moja kwa moja bila kwenda for Diploma, kwa hiyo omba chuo kikuu kwa kutumia form six results na kama unataka kuendelea na law waweza mradi kama ulikuwa na credit kwenye English, I stand to be corrected. You wasted two yrs for nothing wakati ulikuwa na qualifications za direct unless ulikuwa huna principal mbili.
 
I had DEE , due to loan matters I only used short cuts .
 
Hapo ningekuwa mimi ningebashite cheti chenye one, kisha naendelea na degree! Haha!
 
Asante sana Mkuu, vipi nikisema kurudia mtihani wa kidato cha sita?
mkuu mimi yamenikuta hy hy na nimeamua nichukue paper ya six tena mwaka huu,kwasababu diploma kuisoma tena miaka 2 pesa ni nyingi sn kwahyo bora tu nirudie paper
 
Je umechukua masomo mangapi? Maana Mimi ni a Dee saasa nataka jurist somo moja tu, ila pia k una tetesi kuwa huenda mwaka huu wakashusha gredi
 
Usijaribu kurisiti mawili kutafuta D mbili je, moja likizingua? Risiti matatu mkuu. Afu mbona kuna baadhi ya vyuo kama SAUT ya Mwanza kuna Orientation course ya mwaka mmoja afu unaingia Chuo Kikuu au nayo imefutwa wadau?
Hy imefutwa kabisaa
 
Je umechukua masomo mangapi? Maana Mimi ni a Dee saasa nataka jurist somo moja tu, ila pia k una tetesi kuwa huenda mwaka huu wakashusha gredi
Advance hawaruhusu kuunga cheti tofauti na o-level ,hapo uchukue kwa combination tu , mm mwaka wa kwanza nilichukua BCG lkn mwaka huu nitachukua Economic,Geography na Kiswahili huja nikatusua hapo
 
Unamaanisha nisome comb nzima mkuu.? Somo moja hawaruhusu,?
 
Back
Top Bottom