Haya ndio Mataifa yanayoongoza Duniani kwa Utajiri

Haya ndio Mataifa yanayoongoza Duniani kwa Utajiri

huyu millad sijui anatumia takwimu za mwaka 47 yani brunei iizidi utajiri USA? mataifa tajiri huwa ni luxembag ,uswiz,na norway
Sio utajili huo unaofikiria,,hapo ni utajiri wa kila mwananchi, kulingana na pato la taifa, Brunei ni nchi tajiri sana, ina mafuta kibao, pato kubwa ila ina wananchi wachache kulinganisha na Marekani,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa zao sio halali wakati kila siku mnatumia Facebook, iPhones,Google,mnaenda cinema kuangalia Hollywood,bidhaa za Microsoft,mnanunua Boeing,mnanunua Airbus,nk.
Hivyo vyote mnawapelekea wao Ela halafu baadae mnakuja na visingizio vya eti Ela za damu
Umeumia sana kutoiona Us haimo [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom