Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 8,706
- 19,281
Hela za mafuta hizo, Kama Gadaff angekuwepo asingekosa kuwepo kwenye top 20...Wazee wa maslahi hao, wanauwa innocent people ili wanufaike..so pesa zao sio za halali hata kidogo.
Hela za mafuta hizo, Kama Gadaff angekuwepo asingekosa kuwepo kwenye top 20...Wazee wa maslahi hao, wanauwa innocent people ili wanufaike..so pesa zao sio za halali hata kidogo.
Hiyo GDP per capita ina-favour sana yale mataifa yenye idadi ndogo ya watu sasa sisi tunaohimizwa kufyatua tu ndio hivyo hivyo machokoraa wanaongezeka.
Maldives = 444,900Hivo vi nchi vidogo vidogo
Kuna nchi huwa wanagawa faida kwa wananchi wake kila mwisho wa mwaka
Yaani sawa na bongo tupewe gawio la laki moja kama faida ya nchi[emoji28]
Sio data zangu mkuu za afande google. Amepokea shukrani.Upo vizuri kiongozi
Hii uliyoandika sio GDP per capita ya hizo nchi labda itakuwa ni Nominal GDP.Maldives = 444,900
Malta = 500,297
Brunei = 434,089
Seychelles = 96,000
Swaziland = 1.6ml
Djibouti= 972,00
Mauritius = 1.2ml
Estonia = 1.4
Guinea-Bissau =1.9
Ni moja ya nchi zenye watu wachache duniani.
Hapana mkuu ni idadi ya watu. Fuatilia watu niliowa-qoute maudhui ya comments zao na nilichowawekea.Hii uliyoandika sio GDP per capita ya hizo nchi labda itakuwa ni Nominal GDP.
Kumbe wewe ni mmojawao...soma na ukasome comment yako.Hii uliyoandika sio GDP per capita ya hizo nchi labda itakuwa ni Nominal GDP.
Tuvalu ina wakazi elfu kumi na moja tu....Maldives = 444,900
Malta = 500,297
Brunei = 434,089
Seychelles = 96,000
Swaziland = 1.6ml
Djibouti= 972,00
Mauritius = 1.2ml
Estonia = 1.4
Guinea-Bissau =1.9
Ni moja ya nchi zenye watu wachache duniani.
Kwa suala la wqnabebwa na GDP kwasababu ya uchache wao ni hoja rahisi saana.Tuvalu ina wakazi elfu kumi na moja tu....
Acja majunguHata Tanzania tupo , jana kimekuja kitu Air bus Tanzania ndio ya kwanza kubikiri
Duhh !!...$124,930 GDP hii ya QATAR
Tanzania 2745 GDP.
Population ya QATAR = 2.6 mil
Tanzania population = 57.5 mil
Duhh ndege 100 !!! Hao si wanafungua kiwanda sasa ... .daah sisi tukinunua ndege 1 tu tunafanya shereheDada faiza, Emirates sio wa sport sport, ndege 100 air bus [emoji33][emoji33][emoji33] Wakati sisi tuna 5 tu mpaka sasa [emoji23][emoji23]. Bombadier 3, 787 kubwa na moja A220.
HahaaFlyover, Highway na Ndege
Pesa zao sio halali wakati kila siku mnatumia Facebook, iPhones,Google,mnaenda cinema kuangalia Hollywood,bidhaa za Microsoft,mnanunua Boeing,mnanunua Airbus,nk.Wazee wa maslahi hao, wanauwa innocent people ili wanufaike..so pesa zao sio za halali hata kidogo.
Kama like gawio la Postal Corporation kwa JPM[emoji23][emoji23]Hivo vi nchi vidogo vidogo
Kuna nchi huwa wanagawa faida kwa wananchi wake kila mwisho wa mwaka
Yaani sawa na bongo tupewe gawio la laki moja kama faida ya nchi[emoji28]
$124,930 GDP hii ya QATAR
Tanzania 2745 GDP.
Population ya QATAR = 2.6 mil
Tanzania population = 57.5 mil
Hivi ya kwetu ni ngapi?
Hao wana ndege karibia 250 hizo ndege mia ni A380 ndege kubwa kabisa duniani na wana order karibia 50 nyingine.Duhh ndege 100 !!! Hao si wanafungua kiwanda sasa ... .daah sisi tukinunua ndege 1 tu tunafanya sherehe
We maandaz ..waangalia pato LA mtu mmoja mmoja .ko kwa hizo nchi ata malekan kapitwa ..ila ukija pato kwa taifa zima malekan anaongozahuyu millad sijui anatumia takwimu za mwaka 47 yani brunei iizidi utajiri USA? mataifa tajiri huwa ni luxembag ,uswiz,na norway