FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,067
Millard Ayo Mbona Hajaeleza Kwamba Huo Utajiri Ni Kwa Kutumia Kigezo Kipi? Maana Hata Kama Tukisema Kuwa Ni GDP Per Capita Data Bado Zinapishana. Ni Vizuri Pia Angeweka Chanzo Cha Taarifa Yake!
Kama Hiyo Orodha Imetumia Kigezo Cha GDP Per Capita, Basi Ni Vizuri Tuipime Na Baadhi Ya Vyanzo Vilivyopo Ambavyo Ni Vya Kuaminika:
World Bank, IMF Pamoja Na United Nations:
GDP Per Capita (Nominal)
GDP Per Capita (PPP)
(Image Source: Wikipedia)