BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Uchochezi[emoji35]Kibamiaa
Mnapenda vya kupewa nyie viumbe sijui mmeumbwaje,,,,,Kwani pesa kazi yake si matumizi?
Mpe pesaa mpenzio
Hasara roho
Utakuta janaume lina mwanamke mrembo tuu sasa kama mmekaa bar anaanza kukodolea macho vichenchede vinavo pita... yaan macho juu juu. Juzi nilimpiga bonge la kofi mwanaume wangu kisa anashangaa sana madada wa bar
Uongo kama upi?Mwanaume muongo,muhuni na mficha mambo anakera....
Uongo tuUongo kama upi?
maisha ni nn kwani?Mwanaume asiejituma kutafuta maisha.
Nyie mnapend tutimize ahadi za fedha na huduma tulizowatangaziwa wakat nyie mnatuweka cku 1 ya kuja geto , unafr iyo pesa itatoka wapimwanaume mwongomwongo na asiyeweza kukeep promise.
Sipendi mwanaume anayetoa offer bar hata kwa asiowajua...halafu hom anajifanya anajua bajet...Hapo umenena mama angu
waiter mpe Mama hapo [emoji485]
Hahahaaaa anafidia kwa kuongea...mwenye show ya ukweli hasemi..Hahahahhaaha tuna kazi si kidogo shost. Akitoka hapo anawaambia wanaume wenzie nimepiga show mtoto mpk alikuwa hawezi kuongea kumbe loooh hamna alichofanya
we unapenda pesa ama mwanaume kama hutaki bahili kaipende bankHabari zenu wanawake,
Kuna mdau kaanzisha uzi wa tabia zinazowakera wanaume, wakati hata sisi tunazo pia zinazo kera. Wanawake weka tabia inayokukera kwa wanaume.
Mimi sipendi mwanaume mmbahili aiseee alafu hajui hata wajibu wake.
Mmmh umeumizwa na mmoja unaamua kuona Wote wabaya!!?mimi sipendi mwanaume yoyote wakae tu na maisha yao ya ubahili,uchoyo ,uuaji,unafiki,wizi,udanganyifu,sijali hawanihusu tena
Sasa hv pesa kupeanaKwani pesa kazi yake si matumizi?
Mpe pesaa mpenzio
Hasara roho
Hiyo shwain inajumlisha viumbe wote wa kike si ndio?Mnapenda vya kupewa nyie viumbe sijui mmeumbwaje,,,,,
shwain!!
Akili za uzinzi.mwanaume akiangalia shepu ya mwanamke anaweza kujua uchi wake una laza gani na ukiona na concentrate sana jua anatamani amvue pichu
Sipendi pesa napenda mwanaume mtoajiwe unapenda pesa ama mwanaume kama hutaki bahili kaipende bank
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ahaaaaa nikajua unang'oa wakali
Kumbe unang'oa wakale ...
haya usije ng'oa hadi wazee mkuu