Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,661
- 6,910
Kwakweli usawa huu hatuna haja ya kutishiana kupendwa au kutopendwa, kila mbuzi ale usawa wa kamba yake, nikiwa na hamu zangu nitafuata bizaa sokoni.mimi sipendi mwanaume yoyote wakae tu na maisha yao ya ubahili,uchoyo ,uuaji,unafiki,wizi,udanganyifu,sijali hawanihusu tena
Ndo kusema maybe unajiselfee?? Nature go punnish!!mimi sipendi mwanaume yoyote wakae tu na maisha yao ya ubahili,uchoyo ,uuaji,unafiki,wizi,udanganyifu,sijali hawanihusu tena
Huyo kwenye avatar ni wewe?Mi bodyguard wa mtoa uzi..[emoji4]
Kweli kabisa mkuu. sio kila pesa itoke kwa wanaume. Nanyi pia advance.Jama tumeshasema huu mwaka si wakuhonga tusubilini mwakani upepo ukae poa
HahahahahaKumuomba mtu hela....badala ya kukupatia yeye anaenda kusemelea Jamiiforum
huba churaaaaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kwahiyo we ni mremboooo[emoji1] [emoji1] [emoji1]Utakuta janaume lina mwanamke mrembo tuu sasa kama mmekaa bar anaanza kukodolea macho vichenchede vinavo pita... yaan macho juu juu. Juzi nilimpiga bonge la kofi mwanaume wangu kisa anashangaa sana madada wa bar
HuhuhuhuhuhuhuhuhuHehehe
Sana tuuu alafu ni mkibosho pure... patia picha Na naipenda pesa mbaya [emoji4] [emoji4]huba churaaaaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kwahiyo we ni mremboooo[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Naona unakosoa uumbaji wa Mungu" mnatuonea sana wenye vibamia fyetuKibamiaa
Basi huna churaaaaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1]Sana tuuu alafu ni mkibosho pure... patia picha Na naipenda pesa mbaya [emoji4] [emoji4]
Kiruuuu!pesa omba ila unazifanyia nini ndio shida?? Mtu anaomba hela akaongeze makalio au NIDO??? si maajabu haya. Mwingine akaweke makope yale ya makatani hadi anakuwa ananitisha, sasa natoa hela ya nini hapo??/
Habari zenu wanawake,
Kuna mdau kaanzisha uzi wa tabia zinazowakera wanaume, wakati hata sisi tunazo pia zinazo kera. Wanawake weka tabia inayokukera kwa wanaume.
Mimi sipendi mwanaume mmbahili aiseee alafu hajui hata wajibu wake.
Mkuu labda kuna kitu kinamiss kwako ndo maana ndugu yetu anaangalia wengineUtakuta janaume lina mwanamke mrembo tuu sasa kama mmekaa bar anaanza kukodolea macho vichenchede vinavo pita... yaan macho juu juu. Juzi nilimpiga bonge la kofi mwanaume wangu kisa anashangaa sana madada wa bar
Sio kweli.... skiliza wimbo wa salome utaniona pale [emoji28] [emoji28]Mkuu labda kuna kitu kinamiss kwako ndo maana ndugu yetu anaangalia wengine