Hili ndo tatizo linaloangamiza sana mabinti kwa sasa(tunakunywa sana Dawa.....p2 mfululizo,na vidonge vingine vya kuzuia mimbaKwasasa sister huyo ni mgonjwa anaumwa saana wana sema ana matatizo ya ini
msaidie tu. lakini ninakupa angalizo akipona, hata akurembulie vipi usikubali hata kuwa karibu naye.Kuna sister mmoja ambaye nilitokea kumpenda saana sister huyo nilimwambia ukweli wangu
Lakini kwasababu ya umaskini wangu akaniona kama kituko kwake maana alikuwa amezoea kutoka na hawa wanaume wa instagram wanao fake life saana mimi ambaye nilikuwa sina swaga akaniona kama takataka licha ya sister yake kunikubali saana na kutaka ni muoe mdogo wake lakini mambo ya kawa ndo hivi
Huyo sister alikuwa jeuri kinoma saana hata nikimsamia tu akiwa barabarani alikuwa Hajibu salam zangu na kuna mda alikuwa akiniona ana tema mate chini yaani ishara ya kusema kuwa nina towa harufu mbaya
Nilivumia wala sikujali saana niliendelea na kazi zangu kama kawaida tu
Kwasasa sister huyo ni mgonjwa anaumwa saana wana sema ana matatizo ya ini
Mimi ambaye alikuwa ana nitukana ndo na angaika na dada yake kwenye mahospitali uko na kwenye waganga wa asili kutafuta dawa za kumsaidia mdogo wake labda Mungu anaweza kusaidia
Wale akina Instagram kwasasa simuoni yeyote mimi ambaye ninanuka nguo zangu zime kuwa parfum nzuri kwake
Kwenye maisha usijione bora zaidi ya wengine hata kama una uwezo kivipi mchukulie kila mtu kuwa kama rafiki yako au ndugu yako hujui ninani atakaye kuja kuwa msaada mkubwa kwako kesho
Kujikomba huko kwa lipi hasa?Kuna sister mmoja ambaye nilitokea kumpenda saana sister huyo nilimwambia ukweli wangu
Lakini kwasababu ya umaskini wangu akaniona kama kituko kwake maana alikuwa amezoea kutoka na hawa wanaume wa instagram wanao fake life saana mimi ambaye nilikuwa sina swaga akaniona kama takataka licha ya sister yake kunikubali saana na kutaka ni muoe mdogo wake lakini mambo ya kawa ndo hivi
Huyo sister alikuwa jeuri kinoma saana hata nikimsamia tu akiwa barabarani alikuwa Hajibu salam zangu na kuna mda alikuwa akiniona ana tema mate chini yaani ishara ya kusema kuwa nina towa harufu mbaya
Nilivumia wala sikujali saana niliendelea na kazi zangu kama kawaida tu
Kwasasa sister huyo ni mgonjwa anaumwa saana wana sema ana matatizo ya ini
Mimi ambaye alikuwa ana nitukana ndo na angaika na dada yake kwenye mahospitali uko na kwenye waganga wa asili kutafuta dawa za kumsaidia mdogo wake labda Mungu anaweza kusaidia
Wale akina Instagram kwasasa simuoni yeyote mimi ambaye ninanuka nguo zangu zime kuwa parfum nzuri kwake
Kwenye maisha usijione bora zaidi ya wengine hata kama una uwezo kivipi mchukulie kila mtu kuwa kama rafiki yako au ndugu yako hujui ninani atakaye kuja kuwa msaada mkubwa kwako kesho
Mkuu usijali,huku kwetu mitumbwi ilikuwa inasaidia kuokoa ndege iliyozama ziwani kiroho safi tu.Kuna sister mmoja ambaye nilitokea kumpenda saana sister huyo nilimwambia ukweli wangu
Lakini kwasababu ya umaskini wangu akaniona kama kituko kwake maana alikuwa amezoea kutoka na hawa wanaume wa instagram wanao fake life saana mimi ambaye nilikuwa sina swaga akaniona kama takataka licha ya sister yake kunikubali saana na kutaka ni muoe mdogo wake lakini mambo ya kawa ndo hivi
Huyo sister alikuwa jeuri kinoma saana hata nikimsamia tu akiwa barabarani alikuwa Hajibu salam zangu na kuna mda alikuwa akiniona ana tema mate chini yaani ishara ya kusema kuwa nina towa harufu mbaya
Nilivumia wala sikujali saana niliendelea na kazi zangu kama kawaida tu
Kwasasa sister huyo ni mgonjwa anaumwa saana wana sema ana matatizo ya ini
Mimi ambaye alikuwa ana nitukana ndo na angaika na dada yake kwenye mahospitali uko na kwenye waganga wa asili kutafuta dawa za kumsaidia mdogo wake labda Mungu anaweza kusaidia
Wale akina Instagram kwasasa simuoni yeyote mimi ambaye ninanuka nguo zangu zime kuwa parfum nzuri kwake
Kwenye maisha usijione bora zaidi ya wengine hata kama una uwezo kivipi mchukulie kila mtu kuwa kama rafiki yako au ndugu yako hujui ninani atakaye kuja kuwa msaada mkubwa kwako kesho
Mkuu kwanini nguo zako zinanuka?mimi ambaye ninanuka nguo zangu zime kuwa parfum nzuri kwake
Amen! Umesema kweli Sana ubarikiwe Sana!Kama hakuumbwa kukupenda ajilazimishe?
Any way mpelekeni kwa madhabahu ya Arise and shine.