Haya ndio maisha, na hivi ndivyo tuishivyo

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,058
Reaction score
168,718
Yaani acha tu! Maisha ni kitabu ambacho ni endless so far we r living its a must to go next page and then next chapter! Ila naamini kuna wengine wako chapter one bado while other wako chapter ten...etc so Mungu akiona hujaelewa anakuongezea notsi uendelee kusoma same chapter!! Hapo unajua tunapata nini!!! Kitabu kimoja kurasa zilezile but different chapters!! Na kurasa ya mwisho to the next chapter ya mtu mjinga inakuaga ni pigo na kilio cha mbweha halafu anaingia next chapter!!!
 
Bujibuji you are the philosopher unajua sana, sema tu unaweka arts nyingi mpaka inakuwa ni ngumu kukuelewa kuwa una miakili iliyopitiliza
 
Yaani acha tu! Maisha ni kitabu ambacho ni endless so far we r living its a must to go next page and then next chapter! Ila naamini kuna wengine wako chapter one bado while other wako chapter ten...etc so Mungu akiona hujaelewa anakuongezea notsi uendelee kusoma same chapter!! Hapo unajua tunapata nini!!! Kitabu kimoja kurasa zilezile but different chapters!! Na kurasa ya mwisho to the next chapter ya mtu mjinga inakuaga ni pigo na kilio cha mbweha halafu anaingia next chapter!!!

Bujibuji inaelekea wewe ni mwanafunzi mzuri wa Swami Vivekananda.
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji nimekukubali, nilikuwa sikuamini kwa sababu ya avetar yako nikawa nafikiria mko sawa kifikra kumbe tofauti.Hahaha!
 
Grεāt ڪcōtt ​​​.jpg
Bujibuji mi ndio naanza...
I hope its not too late........,
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom