sinyoritah
JF-Expert Member
- Jun 3, 2012
- 552
- 346
Mamboz jaman chit chat inahusika na nini hasa???naona kuna babaà mama mkwe nkiki hik?nsije post vingine nkatolewa mbio buree au na mume tapata humu humu
babu kazidiwa na foleni Filipo na Erickb52 mko wapi mje muwajibike hapa
Kuna mtu umemsahau kumwita lkn kashaitika sasa hivi anakuja!babu kazidiwa na foleni Filipo na Erickb52 mko wapi mje muwajibike hapa
Thnx pipoôo hop ntapata frns wakutosha
Eti mahipsi baby kweli Chit Chat inawavua watu sitiresi na kuwavisha furaha.
Naamini hvo manake hapa mwenyewe stress tupa kule tayar
Naamini hvo manake hapa mwenyewe stress tupa kule tayar
Mwandiko wako naufananisha na mtu flani...
Eti ID yako nyingine ni ipi vile???