Haya mnayoyaona ya wanachuo kupigania bwana ni matokeo ya kutegemea G.PA za" chupi"

Haya mnayoyaona ya wanachuo kupigania bwana ni matokeo ya kutegemea G.PA za" chupi"

Jamaa id yako inafanya nianze kukuogopa mbona unanifokea sasa....

Skia hakuna hizo vitu acha story za vijiweni..
Nambie chuo gani kina hayo mambo ambayo wanafunzi wanapata GPA za chupi.....

Unajua mchakato wa paper mpaka kufika UE alafu uje kusema mtu anatoa mbunye..

Oky hiyo mbunye watatoa wangapi.....
Hata wakitoa 15 kati ya 100 inatosha kuitwa G.P.A za chupi
 
Mwanaume timamu hawezi kudhani na kutamka hadharani kuwa kuna vyeti vya chupi unless useme kuwa wewe umewahi kutunuku mtu hiko cheti cha chupi. Kwenye familia yako hakuna wanawake waliofanikiwa kwa juhudi binafsi?
Hawapo zaidi ya kutoa rushwa ya pesa au ngono.
 
Tumeona kiongozi mkubwa wa serikali akionyesha kutopendezwa na Yale yaliyotokea vyuoni , baada ya wanavyuo kupigana na kudhalilishana mitandaoni huku ikisemekana wanamgombea bwana wao Mwijaku....laiti kama hawa wanafunzi wangekuwa wanatambua kilichowapeleka chuoni wasingekuwa na muda wa kupigania mabwana....Haya yote mnayoyaona ni matokeo ya G.P.A za chupi, mabinti wanategenea watoe rushwa ya ngono ndio wapate ufauru mzuri.
Ndalichako
 
Alafu kuna kitu hamjui aiseee kuhusu huko chuo..
Narudia tena hakuna GPA za chupi..
Dada zetu wanapambana kule kusoma na kufikisha coursework kwa akili yao wenyewe ila sio kwa kuvua vua kama kuvua watavuana wanafunzi kwa wanafunzi ila sio wanafunzi kwa malecture..

Sasa kama hizo gpa za chupi zinapatikana kwa wanafunzi kuvuana chupi wao kwa wao nambeni mnielekeze zinakuaje
Uwongo.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Mkuu. simchukii mtu, sikuchukii. kama mupost inanikera naweka dislike haina maana nina chuki na mtu, hapana.
Niulize vitufe hivi ni vyanini kama havitoweza kutumika?

Vipo kutoa maoni, reaction, feedback ya kilichoandikwa, cittaji kuandika hoja ya kupinga au kuandika kwanini natoa Dislike kama vile hakuna anae ulizwa akitoa like.
Should I demand explanation for every like bhana?

kaza muboot tuende

Oh, punguza muposti ya kukera bac
Sawa mkuu 😁
 
Kwakuwa umekana kuwa wewe sio mwana ccm basi sio fara
Mwizi mkulu, tuheshimiane, kama una taka bifu bac liwe ni bifu tu, naeza nikakuhendo vizuri tu

Fara bbako

Iwe ni CCM ACT NCCR acheni kupachika watu malebo na kuwatukana mnaposhindwa na hoja, ama unataka nitembeze dislike kwa kila mwana CCM ndio ufurahi? Hijalishi, uwe CDM dislike, CCM, dislike.

Unajua mmkao alipataje GP.A yake ya chupi a lah?
 
Tumeona kiongozi mkubwa wa serikali akionyesha kutopendezwa na Yale yaliyotokea vyuoni , baada ya wanavyuo kupigana na kudhalilishana mitandaoni huku ikisemekana wanamgombea bwana wao Mwijaku....laiti kama hawa wanafunzi wangekuwa wanatambua kilichowapeleka chuoni wasingekuwa na muda wa kupigania mabwana....Haya yote mnayoyaona ni matokeo ya G.P.A za chupi, mabinti wanategenea watoe rushwa ya ngono ndio wapate ufauru mzuri.
Mwijaku ni Lecturer wa chuo ipi?
 
Back
Top Bottom