Haya Mavazi yanaficha mengi!!

Haya Mavazi yanaficha mengi!!

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Posts
42,099
Reaction score
12,928
Hiyo suruali ilikuwa inamsitiri....
 
Attachments

  • suruali...jpg
    suruali...jpg
    11 KB · Views: 435
Labda hataki usumbufu wa kuvua akienda long call tundu linakuwa linamsaidia.
 
Halafu ni mzungu. Mimi nilidhani shida wanazo weusi tu kumbeeee!!
 
duh.....pia viatu huwa vinaficha soksi zilizotoboka...kuumbuka kunakuja pale unapoenda kwa watu halafu unalazimika kuvua viatu......
 
duh.....pia viatu huwa vinaficha soksi zilizotoboka...kuumbuka kunakuja pale unapoenda kwa watu halafu unalazimika kuvua viatu......
Na pia soksi zinakuwa na harufu kali...
 
Back
Top Bottom