Haya matusicwengine wanayatafuta

Haya matusicwengine wanayatafuta

Kuna mama wengine wana wivu kwa watoto wao kuwa binti anamfaidi mwanae hahaha[emoji1]
 
Ngoja nisipapase macho na mdomo.

Niivi ,ukiona unajibu upuuzi km huo kwa mama mkwe ,wewe sio mwanamke ni LIPUUZI MOJA TUU.


Hilo swali umelijibu Mara ngapi maishani mwako ??.

MF...humu JF tu ,nyuzi ngapi zimeuliza ilo swali nabado mnaishia kufunguka kinaga ubaga ???.

Nimara ngapi mkiwa na mashoga zenu , umeulizwa hilo swali naukamjibu kwa moyo nabashasha namaring???.

Inakuaje Leo mama yangu akuulize swali ilo Dogo ,umjibu utumbo ??.

What if km alitaka tu kujua mlipokutana maana anakupenda pia ,who knows??.

What if kama niswali aloliuliza akiwa amevaa mwili Wa 'Shoga yangu' nasio Mama mkwe ? Who knows????.

Alafu unakuja kumjibu hivo Mama mkwe ??? Hiii inaonyesha kiwango cha uzwazwa na ujinga na uswahili ulojaa kichwan mwako!!

Tena ,izo mambo labda uwe Mumeo nimtu wapwani au naye fala fala ,,,, yaaan Mimi ndo napata iyo Taarifa ,, ulikua unakula Makofi matatu yanguvu akili zikukae !!.

Wewe mama yako akiniuliza ivo ,,alafu nimjibu ...""Utaniuliza na mwanao namgegeda vipi"" ...how do you feel utakaposikia ilo toka kwa mama ????.

Huo ujinga ,, muwafanyie wanaume Wa Dar ,wanaume wanaonyenyekea wanawake utazan miungu yao ,wanaume wasokua nasauti ,wanaume wanaobadilika nakua mafala baada ya kuoa !!..

Umwambie ivo Mama yangu ??? Who are you ??? Weeeeeeeeee thubutu !!.

Fanyeni wakwe zenu kua mashoga wenu lkn sio wakwe kuwageuza maadui.

Wanawake Wengine bana ,, naww ukafurahia uliposikia izo habar ???.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom