Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Mama mkwe utaanzaje kumuuliza mke wa mwanao "hivi mwanangu ulikutana nae wapi"? Alijibiwa "unataka kujua usiku anani do vingapi pia"?
Mama aliwahi kwa mtoto wake kushtaki mkeo hana adabu.
Mama wakwe muwe na busara, reception inaweza kuwa mbovu lakini mauno ninayomkatia mwanao ni yeye tu anajua.