Haya mataulo bafuni ni ya nini?

Mama weee mbavu zangu mie.

Kweli Pasco maana Washing Machines hamna na hata kama zipo, Ngereja kabeba umeme wake Sengerema na ili upate, hadi upite kwenye kivuko na umfikishie maombi huko kwao Sengerema na hakuna uhakika kama atakubali.

Labda mabinti wa Kinyakyusa na Kisukuma ila na wao watakuwa na mikono imekomaa kama kiganja cha mkulima. Hahahaaaa..... :)
Its true massage za Wachina wako bei juu na sabu ni moja tuu, wanafanya massage za ukweli. Massage za ukweli kwanza zinatakiwa kufanywa na mtu anaezijua vizuri zile meridians na points za acu pressure, pili lazima awe na mkono wenye power to press.

Dada zetu wengi wana bonyeza bonyeza kwa guess work na mikono yenyewe ndio hiyo hiyo ifulie nguo, isugulie masufuria ndipo ije kufanya massage!.
 
Back
Top Bottom