Haya matatizo utayaona Bongo tu!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya matatizo utayaona Bongo tu!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by masopakyindi, Jul 18, 2012.

 1. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,916
  Likes Received: 2,341
  Trophy Points: 280
  View attachment 59175
  Asubuhi ya leo,Semi trailer imeharibika kati kati ya bara bara pale Kunduchi Mbuyuni na dereva kaweka Triangle na kukaa pembeni.
  This can only happen in Bongoland!!
   
 2. sakapal

  sakapal JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,824
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  inakera sana hii utakuta umewah kutoka home vizuru ili uwah job unakutana na kizuizi kama hiki mnakaa barabarani zaidi ya masaa 2. mi mkereketwa mkubwa wa foleni za kijinga bongo.
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  ndo nchi ya amani hii ndugu!
  hatuko makini kabisaa kwani nani anahusika kuitoa!
  hata trafiki atakuambia hajui!
   
 4. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Ama kweli bongo tambarare,na usishangae hilo lori likibaki hapo kwa wiki nzima.....
   
 5. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kwanza hamjajiuliza kwenye hiyo double road yeye alikua anaelekea wapi? (opposite direction) Kama sio Pombe za asubuhi ni nini?
   
Loading...