Sawa mkuu!Aroo!
Watoto wanaenda shule!
Safi sana mkuu kwa kumkumbusha mambo ya usafi ndugu yetu!Next time nyoosha nguo zako. umekaa kihasarahasara.
inaonyesha hapo mbele umefungasha mashalah baba kwenye kundi la vibayamaya haupo kabisaaa
Najua mwili uko kwa watoa buku saba lakini roho iko kwa wapigania haki za wanyonge (Peopleeees power), endelea kuvaa GWANDA baba tuko pamoja.
Wakuu nililovaa si kombati wala gwandaz hiyo ni CADET, pamba zangu za siku nyingi.kumbe masopakyindi ni mjanja wa kombati,buku saba ndo zinambakisha lumumba
Hata New York City haikujengwa kwa siku moja, mwanzo wa ngoma leleleleleleleee na mwanzo wa Kombati na Khaki.Wakuu nililovaa si kombati wala gwandaz hiyo ni CADET, pamba zangu za siku nyingi.
Mtanzania yeyote ni ndugu yangu na Afrika ni moja.
Ha ha ha ha!!!View attachment 112409
Kuna walioni-pm, wakitaka kunijua
Mimi hapo , Masopakyindi a.k.a mburula
a.k.a wa buku saba
a.k.a mCCM
Ukinikuta sikosi kamera karibu!!