masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,897
- 15,125
Nimeikuza tu picha mama D
Tokea leo muache kuniiga, siye hatuesmi combat, hiyo ni CADET!!!We mburula usitufanye sisi kama wewe; haiwezekani wewe ndio wa jina hilo wewe ni proxy tu; ungekuwa ndiye usingevaa hiyo combat bali shati la kijani kuonesha uzuzu wako na chama cha magamba!!!
Wfamchezo na buku saba!!!Kitambi hicho
View attachment 112409
Kuna walioni-pm, wakitaka kunijua
Mimi hapo , Masopakyindi a.k.a mburula
a.k.a wa buku saba
a.k.a mCCM
Ukinikuta sikosi kamera karibu!!
Hakika mwenyezi mungu amemjalia!inaonyesha hapo mbele umefungasha mashalah baba kwenye kundi la vibayamaya haupo kabisaaa
Mkuu buku saba tu inakuondolea ufahamu wako?Wfamchezo na buku saba!!!
Uje tuligide!!
Tokea leo muache kuniiga, siye hatuesmi combat, hiyo ni CADET!!!
inaonyesha hapo mbele umefungasha mashalah baba kwenye kundi la vibayamaya haupo kabisaaa
Mkuu buku saba tu inakuondolea ufahamu wako?