Haya mashamba ya bangi DC wa Tarime anajua?

Daaah umemaliza kabisa!
Good presentation. Asieelewa hapa ana ttz
Wewe ulitakiwa kuwa Muhanga wa Mwamposa.

Bangi inashida gani; ? Ni ushamba wenu tu.

Ni zao kama zao lingine na Serikali inatakiwa kuhakikisha zao hili linauzwa kihalali na kutoa ajira kwa raia.

Mbona Pombe ni more dangerous na inauzwa kihalali na kuwapa watu ajira.

Acheni mambo yakipumbavu watizedi; Bangi ni ajira, Bangi ni chakula, Bangi ni dawa, Bangi ni divine consciousness, Bangi ni Mental Strength, Bangi ni blessing from Al mighty. Bangi is the way to humanity, Bangi is the way to truth of life itself.

90 % ya great beings pamoja na politicians wana vuta bangi na ndio wanawaongoza nyie mbululazi.

Ni ujinga wako wewe usiyejua namna ya kuitumia kwa ajili ya matokeo chaji;

Tangu uzaliwe ushawahi kusikia mtu amekufa kwa ku overdose Bangi ? Wake up

Kama unatumia Bangi kwa ajili ya recreational na fantasy zako basi lazima ikuharibu. Hata maji ni harmfully kama ukitumia pasipo mpangilio.

Vijana wengi wanavuta Bangi pasipo kujua why do they have to smoke; that is the most dangerous thing. Ndiyo maana wanaishia kuwa Maluza tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliendaga mgeta aise hko juu milimani Kuna bangi inajiotea balaa...?
Ila serikali iruhusu tu biashara hii kufanya kwa watu fulani na vibali.... Holland kna soko kubwa Sana taifa litaingiza kipato sana

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kishimba aliwabia bungeni na akawatolea mchanganuo wake wa bei toka shambani mpaka sokoni. Mmekalia kodi za ajabu wakati nguvu ya kununua mlaji inazidi kudorora.

Kama ulikuwa hujui, hiyo bangi inakwenda Kenya.
 
Kuna vijiji ukipita huko tarime unaweza hisi awako tanzania wako na nchi yao

Hivi vijiji kuna mashamba mengi na kwa pembeni mtaona miwaa imezunguka

Ukibahatika kuingia ndani unaweza dondoka gafla n bangi za kufa mtu

Siohilo wananchi wamefikia hata kuvuna bila uwoga na kupeleka mzigo mpaka barabaran

Hapo. Kuna wanaume wanakuja na kubeba unaenda wapi sijui!!?

Naamini kwa dodoso hili kama walikuwa awajui basi uongozi wa tarime waashirikiane na wa vijijini kuteketeza haya mashamba yanaangamiza vijana wasio na hatia kabisa ......

Tusisubiri kukamata kwenye magari yao huku ikijulikana zinatokea wapi
Hauruhusiwi kuongea wakati wa kula. Ile ambulance ya hospitali ya wilaya ilikamatwa na nini eti!
 
USIMJIBU MJINGA USIJE FANANA NAEE
SIMBA ANAKUJA TARIMEE MJIANDAEE VIJIJI VYOTE TUSHAORODHESHA
:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D simba yupi huyo? Mwaka juzi alikuja rais na waziri mkuu kabisa. Achana na simba, huku hata tembo kuvamia hayo mashamba na kuanza kula hiyo bangi ni kawaida kabisa.
 
Kwa hiyo ulishindwa kwenda kwa RPC wa TARIME,umpeleke kwenye hayo mashamba akupe zawadi ya msokoto hata mmoja,acha umbeya.
 
BASIASI,

Wewe ulitakiwa kuwa Muhanga wa Mwamposa.

Bangi inashida gani; ? Ni ushamba wenu tu.

Ni zao kama zao lingine na Serikali inatakiwa kuhakikisha zao hili linauzwa kihalali na kutoa ajira kwa raia.

Mbona Pombe ni more dangerous na inauzwa kihalali na kuwapa watu ajira.

Acheni mambo yakipumbavu watizedi; Bangi ni ajira, Bangi ni chakula, Bangi ni dawa, Bangi ni divine consciousness, Bangi ni Mental Strength, Bangi ni blessing from Al mighty. Bangi is the way to humanity, Bangi is the way to truth of life itself.

90 % ya great beings pamoja na politicians wana vuta bangi na ndio wanawaongoza nyie mbululazi.

Ni ujinga wako wewe usiyejua namna ya kuitumia kwa ajili ya matokeo chaji;

Tangu uzaliwe ushawahi kusikia mtu amekufa kwa ku overdose Bangi ? Wake up

Kama unatumia Bangi kwa ajili ya recreational na fantasy zako basi lazima ikuharibu. Hata maji ni harmfully kama ukitumia pasipo mpangilio.

Vijana wengi wanavuta Bangi pasipo kujua why do they have to smoke; that is the most dangerous thing. Ndiyo maana wanaishia kuwa Maluza tu.
Big up Man
 
Mkuu mambo ya jukwaa hili yanahitaji uwazi. Lakini pia elewa msiri katika jukwaa hili analindwa 100%. Hivyo kama una uhakika na unachokisema taja na maeneo husika ili nawe uwe ni 1wapo ya mtz unaowanusuru watz wenzio na janga hili la madawa ya kulevya.

Tofauti na hivyo huu uzi wako ni uzi wa majungu/umbea.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu weed sio dawa za kulevya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hii JF ni kama kijiwe cha Wahuni.

Kila anayekomenti huu uzi anaunga mkono uvunjaji wa sheria.

Hivi tatizo huwa ni jambo fulani halina madhara, au ni jambo fulani ni kinyume cha sheria zetu.

Kama sheria zetu haziruhusu kutundika hovyo bendera ya taifa, basi ni ujinga kuanza kulalamika mbona Marekani wao wanaruhusiwa...wao wana sheria zao na sisi tunazo za kwetu.
maisha tumeumbiwa ku enjoy ww angalia unaenjoy vp haya mambo ya sheria waachie wanaosoma sheria ww jikite au focus sana kwenye ku enjoy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkubwa hiyo bangi uliyoiona huko bunchari huwa ni kwaajili ya kuexport kule kwa wakenya ndio wanajua matumizi yake sahihi
 
Oya mzee baba Kama unadhani shada ni hivyo unavyojua wew au ulivyokaririshwa ur wrong 100%..and Mark my word after few years utarealise kwamba majomba walitufool tuikatae bhang ili watuuzie sigara zenye kansa mzee..na hakuna mtumiaji wa bangi mwenye pigo za kieee
 
Back
Top Bottom