Haya mashamba ya bangi DC wa Tarime anajua?

Mkuu mambo ya jukwaa hili yanahitaji uwazi. Lakini pia elewa msiri katika jukwaa hili analindwa 100%. Hivyo kama una uhakika na unachokisema taja na maeneo husika ili nawe uwe ni 1wapo ya mtz unaowanusuru watz wenzio na janga hili la madawa ya kulevya.

Tofauti na hivyo huu uzi wako ni uzi wa majungu/umbea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka picha
IMG-20170918-WA0001.jpg
 
Yaani hii JF ni kama kijiwe cha Wahuni.

Kila anayekomenti huu uzi anaunga mkono uvunjaji wa sheria.

Hivi tatizo huwa ni jambo fulani halina madhara, au ni jambo fulani ni kinyume cha sheria zetu.

Kama sheria zetu haziruhusu kutundika hovyo bendera ya taifa, basi ni ujinga kuanza kulalamika mbona Marekani wao wanaruhusiwa...wao wana sheria zao na sisi tunazo za kwetu.
 
Mimi ni mwanatarime ijapokuwa kwa sasa sipo huko, watu wanaolima bangi ni watu Innocent sana hawana time na MTU na asilimia 80% ya watu wanaochangia maendeleo wilayani Tarime kama vile wanaochangia vitu katika ujenzi wa mashule na nyumba za walimu ni wakulima wa bangi na wafanya biashara wa bangi, kwa Tarime bangi haimuathiri MTU na kuna watu wakivuta bangi wanaenda kuzalisha kama vile kulima,

"Nyie wanaume wa Dar ndio mkivuta bangi mnawaza kufilw* na kuwa watu wa hovyo na umbea umbeya ila wanatarime tunajua bangi ni kichocheo maendeleo!

Sent using [pencil ya alikiba]Jamii Forums
 
KAMA.MLISOMESHWA KWA BANGI SIMBA ANAKUJA HUKO TUNALIFANYIA KAZI MUANZE KULIMA MAZAOOO SIO BANGI...NA PALE SIRARI BODA ZINAPOPITA NAKO TUNAFANYIA KAZI MDA SI MREFU MTAANZA KULIMA MIWAAA WAKUU

MMKO DAR MNAPELEKA HELA KWA BABA ZENU WAKANUNUE MBEGU ZA BANGI MNATESA WANANCHI MDA WENU UMEFIKIA TAMATI

TTUNAANZA NA VIJIJI KADHAA KAMA.MFANO
 
Back
Top Bottom