Haya mapenzi yamezidi sasa!!...

Haya mapenzi yamezidi sasa!!...

Kuna kitu nikukumbuka huwa nacheka sana. Hizi picha mmmmh
 
Hayo siyo mapenzi, hizo ni nyege mshindo...
 
Ni zile nyege ambazo hata mkiwa mbele ya kadamnasi mnajiona mpo peke yenu na akili yenu ni mmoja tu... kunjunjana... Au hata kukiwa na watu mnahisi hakuna aliye na habari na nyie...
Ha ha ha aiseee nimeishia kucheka tu, maana kweli ni nyege mshindo,
 
hiyo ya kwanza ni oil inapimwa
Duuu heba angalia vizuri au ya kwanza kwako ni ipi ? Kwenye gari sio sehemu zote zina oil ati zingine ni grisi
Huoni kama kuna mkono wa jamaa kwa nyuma ya hiyo tight nyeusi
 
Mkono ninaotafutia riziki siwezi peleka huko, mtanisamehe!
 
Duuu heba angalia vizuri au ya kwanza kwako ni ipi ? Kwenye gari sio sehemu zote zina oil ati zingine ni grisi
Huoni kama kuna mkono wa jamaa kwa nyuma ya hiyo tight nyeusi
kweli aisee huyo wa kwanza jamaa anapima grisi
 
hahaha TZ inanichekesha ukahaba bongo haramu afu tunapokea misaada kutoka ulaya hujui kwamba hizo ni kodi za raia wao, wakiwemo makahaba tunaoita haramu.
HATA NGURUWE NI HARAMU KWA WAISLAMU LAKINI USHURU WA MACHINJIO YA NGURUWE WANAKULA KAMA KAWAIDA.
 
injini nzito ikichanganya sasa utaipenda
Aiseee, ni injini ya scania au fiat mama? Maana ata mimi ni mlevi wa injini za ukweli,tena zile zinazokubali gear12 high na low!! Kwanza unapima oil kama haijachakachuliwa, kisha unaendelea na kutupia tugia twako saaaafi? Na kweli ikichanganya yani dereva mwenyewe unaweza sinzia lol!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom