miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,110
Wacha kabisaAiseee, ni injini ya scania au fiat mama? Maana ata mimi ni mlevi wa injini za ukweli,tena zile zinazokubali gear12 high na low!! Kwanza unapima oil kama haijachakachuliwa, kisha unaendelea na kutupia tugia twako saaaafi? Na kweli ikichanganya yani dereva mwenyewe unaweza sinzia lol!