Haya mapenzi jamani haya

Mmmmmmmh, nipo hapa shamba pb, kibada jamaa anampigia mchumbaake cm demu anaiangaliatu, anapiga mbakakero minikazuga kama namwambia tuondokeapa ukaongee na bwanaakoaisee atazimia huyo.
Dem anasema achananae ngoja nimkomeshe, amepokea cm alafu kaiweka mezani jamaa anaskiliza miziki na chupa zabiatu.
Duuuh wanawake nyoso jamani daaah.

Sipati picha namimi sikuyangu nikifanyiwahivi.

Ananiambia kesho anaenda kuvunja uchumba mana jamaa anamsumbua sana eti kabla ata hajamuoa wivu kiwango cha SGR.

Daah nimemuangalia sana huyu binti.
 
Maisha ya mapenzi ni kichaka kikubwa mno

Zamani nilikuwa najua ukiwa na pesa utapata furaha kwenye mapenzi lakini kumbe sivyo kabisa!

Mapenzi ni kichaka, mapenzi ni giza, mapenzi ni zaidi ya bahari, utaingia ukiwa na mtazamo mzuri ila ukabadilishwa

Mapenzi ni maumivu makali

Mapenzi ni furaha kubwa

Wapo matajiri wanaocheka na kulia, wapo masikini wanaocheka na kulia

Ukimpenda atakupuuza, unaempuuza anakupenda

Unaweza kupenda ukaona kasoro

Kuna kasoro zinavunja moyo zinaumiza na zinatesa mno

Mapenzi yamekua ubinafsi watu hawafikirii wengine wanajiangalia wao peke yao

Unawaumiza wengine, wanakuumiza wengine

Mapenzi mapenzi mapenzi.
Copy & paste
Kuna mtu KATINGISHWA
 
Mmmmmmmh, nipo hapa shamba pb, kibada jamaa anampigia mchumbaake cm demu anaiangaliatu, anapiga mbakakero minikazuga kama namwambia tuondokeapa ukaongee na bwanaakoaisee atazimia huyo.
Dem anasema achananae ngoja nimkomeshe, amepokea cm alafu kaiweka mezani jamaa anaskiliza miziki na chupa zabiatu.
Duuuh wanawake nyoso jamani daaah.

Sipati picha namimi sikuyangu nikifanyiwahivi.

Ananiambia kesho anaenda kuvunja uchumba mana jamaa anamsumbua sana eti kabla ata hajamuoa wivu kiwango cha SGR.

Daah nimemuangalia sana huyu binti.
Wwe ndiyo unampa jeuri huyo binti, ndiyo maana anamdharau Mchumba wake! Tena wwe ndiyoulitakiwa umkanye ili asimdharau Mchumba wake! Wanaume tunatakiwa kulindana na kuheshimiana hata Kama unagonga Manzi ya Mtu!!
 
Kweli kabisa mkuu
 
Mmmmmmmh, nipo hapa shamba pb, kibada jamaa anampigia mchumbaake cm demu anaiangaliatu, anapiga mbakakero minikazuga kama namwambia tuondokeapa ukaongee na bwanaakoaisee atazimia huyo.
Dem anasema achananae ngoja nimkomeshe, amepokea cm alafu kaiweka mezani jamaa anaskiliza miziki na chupa zabiatu.
Duuuh wanawake nyoso jamani daaah.

Sipati picha namimi sikuyangu nikifanyiwahivi.

Ananiambia kesho anaenda kuvunja uchumba mana jamaa anamsumbua sana eti kabla ata hajamuoa wivu kiwango cha SGR.

Daah nimemuangalia sana huyu binti.
Kuna mtu anampa kiburi ndio maana anamfanyia ivo
 
Tafuta wa kufanana na wewe, sio unashobokea ma Slay Queen tu. Lazma mapenz yakutese
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom