Haya mapenzi jamani haya

Maisha ya mapenzi ni kichaka kikubwa mno

Zamani nilikuwa najua ukiwa na pesa utapata furaha kwenye mapenzi lakini kumbe sivyo kabisa!

Mapenzi ni kichaka, mapenzi ni giza, mapenzi ni zaidi ya bahari, utaingia ukiwa na mtazamo mzuri ila ukabadilishwa

Mapenzi ni maumivu makali

Mapenzi ni furaha kubwa

Wapo matajiri wanaocheka na kulia, wapo masikini wanaocheka na kulia

Ukimpenda atakupuuza, unaempuuza anakupenda

Unaweza kupenda ukaona kasoro

Kuna kasoro zinavunja moyo zinaumiza na zinatesa mno

Mapenzi yamekua ubinafsi watu hawafikirii wengine wanajiangalia wao peke yao

Unawaumiza wengine, wanakuumiza wengine

Mapenzi mapenzi mapenzi.
Copy & paste

Zamani ulikua unajua ukipata pesa basi utapata furaha kwenye mapenzi,

Hiyo ni zamani gani ya miaka gani? Ukiona bado hupati furaha bado hujapata pesa endelea kutafuta pesa,
 
Maisha ya mapenzi ni kichaka kikubwa mno

Zamani nilikuwa najua ukiwa na pesa utapata furaha kwenye mapenzi lakini kumbe sivyo kabisa!

Mapenzi ni kichaka, mapenzi ni giza, mapenzi ni zaidi ya bahari, utaingia ukiwa na mtazamo mzuri ila ukabadilishwa

Mapenzi ni maumivu makali

Mapenzi ni furaha kubwa

Wapo matajiri wanaocheka na kulia, wapo masikini wanaocheka na kulia

Ukimpenda atakupuuza, unaempuuza anakupenda

Unaweza kupenda ukaona kasoro

Kuna kasoro zinavunja moyo zinaumiza na zinatesa mno

Mapenzi yamekua ubinafsi watu hawafikirii wengine wanajiangalia wao peke yao

Unawaumiza wengine, wanakuumiza wengine

Mapenzi mapenzi mapenzi.
Copy & paste
Nacho kiona kwako ni ugeni wa mapenzi,
 
Copy abd and paste
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom