Haya mapenzi gani sasa?

Haya mapenzi gani sasa?

tracy jamaa ana bifu nyingine kuwa mdogo hampi papuchi mana ndo walivokubaliana wakati wanaanza mahusiano. Nahisi ndo mana jamaa amemtema, dogo bado b.i.k.r.a

Bikira ipi
 
Last edited by a moderator:
Ms.Lincoln ndio najua ila si unajua mtu kama hujawahi kupenda afu ukaingia kwenye mahusiano, ukampa mtu a true love, then unatendwa kwa kitu kama hicho unapanic hadi unashindwa la kufanya
Kumbe dada wajua sababu ni mdogo wako kujitunza,sasa unaomba ushauri gani tena!!
 
Last edited by a moderator:
Tojo mi nimemshauri sana lakini si unajua moyo ukishapenda alafu pasipopendeka, utalia for sure. Mimi sijachanganyikiwa bana!
Sasa kama dada ni kiazi namna hii dogo atakuaje! !?? Najiuliza tu coz dada mtu usingekosa cha kumshauri dogo hapo
 
Last edited by a moderator:
Salamu kwenu wanajamii! Nina mdogo wangu ana boyfriend wake, sasa huyo kaka huwa tunaongea naye kwa simu kusalimiana sasa tatizo liko hivi: nilimwomba mdogo wangu aje tujumuike pamoja krismasi, kwasabu ninakaa naye karibu ila wilaya tofauti, basi akaniambia atakuja na mchumba wake, basi akanipa nikaongea na huyo mchumbake akasema watakuja.
Wakaja tujumuika nao krismaa na familia yangu then wakarudi chuoni wanakosoma.
Sasa jamaa kanuna eti kisa hakutambulishwa kwangu na huyo mdogo wangu, na binti amechanganyikiwa baada ya jamaa kumwambia anabaki single kama zamani!
Nimshauri nini huyu mdogo wangu baada ya kuachwa? Mana kachanganyikiwa kweli! Sio utani huu...! Karibu kila mmoja kwa nafasi yake!!

Hili neno huwa linatumika sana na teenagers na adolescents ambao huwa hawajakua kiakili!
 
Back
Top Bottom