Haya mapenzi gani sasa?

Haya mapenzi gani sasa?

Lolipop

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2013
Posts
349
Reaction score
81
Salamu kwenu wanajamii! Nina mdogo wangu ana boyfriend wake, sasa huyo kaka huwa tunaongea naye kwa simu kusalimiana sasa tatizo liko hivi: nilimwomba mdogo wangu aje tujumuike pamoja krismasi, kwasabu ninakaa naye karibu ila wilaya tofauti, basi akaniambia atakuja na mchumba wake, basi akanipa nikaongea na huyo mchumbake akasema watakuja.

Wakaja tujumuika nao krismaa na familia yangu then wakarudi chuoni wanakosoma.

Sasa jamaa kanuna eti kisa hakutambulishwa kwangu na huyo mdogo wangu, na binti amechanganyikiwa baada ya jamaa kumwambia anabaki single kama zamani.

Nimshauri nini huyu mdogo wangu baada ya kuachwa? Maana kachanganyikiwa kweli! Sio utani huu! Karibu kila mmoja kwa nafasi yake.
 
Wewe ni dada wa huyo mdogo sio........na una familia.........na umeshindwa cha kumshauri.........?........dah......aiseee........
 
Sasa kama dada ni kiazi namna hii dogo atakuaje! !?? Najiuliza tu coz dada mtu usingekosa cha kumshauri dogo hapo
 
Aisee kuna watu vichwa vyao havina ubongo kabisa, halafu mbaya zaidi na dada mtu nae kachanganyikiwa ingawa hajasema, we unamlilia mtu utadhani umezaliwa nawe, upenzi wenyewe wa chuo tena ni wa kusogeza miaka mbele. Ushauri wangu aendelee kuchanganyikiwa tu anaweza kubahatika kugundua bomu la mapenzi, akamlipue huyo mpenziwe apendwe upya.
 
Sasa kama dada ni kiazi namna hii dogo atakuaje! !?? Najiuliza tu coz dada mtu usingekosa cha kumshauri dogo hapo

dada mwenyewe anaitwa 'lolipop'... kuna nini tena apo!. 'keshalambwa' mpaka ubongo umekuwa mgando. Dada mtu-mzima mwenye familia, afu eti anakosa kabisa chochote cha kumshauri mdogo wake kwa inshu ndogo ya kijinga kama hiyo??!! huo ni umaandazi.
 
Aisee kuna watu vichwa vyao havina ubongo kabisa, halafu mbaya zaidi na dada mtu nae kachanganyikiwa ingawa hajasema, we unamlilia mtu utadhani umezaliwa nawe, upenzi wenyewe wa chuo tena ni wa kusogeza miaka mbele. Ushauri wangu aendelee kuchanganyikiwa tu anaweza kubahatika kugundua bomu la mapenzi

akamlipue huyo mpenziwe apendwe upya.

daaah we jamaaa kauzu kweli , nakupa tano
 
Salamu kwenu wanajamii! Nina mdogo wangu ana boyfriend wake, sasa huyo kaka huwa tunaongea naye kwa simu kusalimiana sasa tatizo liko hivi: nilimwomba mdogo wangu aje tujumuike pamoja krismasi, kwasabu ninakaa naye karibu ila wilaya tofauti, basi akaniambia atakuja na mchumba wake, basi akanipa nikaongea na huyo mchumbake akasema watakuja.
Wakaja tujumuika nao krismaa na familia yangu then wakarudi chuoni wanakosoma.
Sasa jamaa kanuna eti kisa hakutambulishwa kwangu na huyo mdogo wangu, na binti amechanganyikiwa baada ya jamaa kumwambia anabaki single kama zamani!
Nimshauri nini huyu mdogo wangu baada ya kuachwa? Mana kachanganyikiwa kweli! Sio utani huu...! Karibu kila mmoja kwa nafasi yake!!

Apo kwenye red:

(a) So ameshaachwa rasmi, au bado?
(b) Je unangojea kwanza ''aachwe'' afu ndo umshauri eeh?

On a serious note, kama kweli 'kachanganyikiwa', me nashauri kwanza awahishwe Milembe kwa matibabu, wakati tukifikiria nini cha kumshauri kuhusu 'kuachwa' :confused2:

-Kaveli-
 
Salamu kwenu wanajamii! Nina mdogo wangu ana boyfriend wake, sasa huyo kaka huwa tunaongea naye kwa simu kusalimiana sasa tatizo liko hivi: nilimwomba mdogo wangu aje tujumuike pamoja krismasi, kwasabu ninakaa naye karibu ila wilaya tofauti, basi akaniambia atakuja na mchumba wake, basi akanipa nikaongea na huyo mchumbake akasema watakuja.
Wakaja tujumuika nao krismaa na familia yangu then wakarudi chuoni wanakosoma.
Sasa jamaa kanuna eti kisa hakutambulishwa kwangu na huyo mdogo wangu, na binti amechanganyikiwa baada ya jamaa kumwambia anabaki single kama zamani!
Nimshauri nini huyu mdogo wangu baada ya kuachwa? Mana kachanganyikiwa kweli! Sio utani huu...! Karibu kila mmoja kwa nafasi yake!!

Kwani ni lazima atambulishwe? Mwambie mdogo wako anadeal na mtu asiejitambua na ampotezee, unalazimishaje kutambulishwa?
 
kwani yeye ametoa hela ya utambulisho kwa wakweze? timiza wajibu wako halaf udai haki, dada mtu vp?
 
Back
Top Bottom