Haya maneno yamenichanganya''!!!!!

Haya maneno yamenichanganya''!!!!!

utapelekaje salary kwa kimada?ndo hapo ujinga unapoanzia ,mama yako ndo msiri wako wa kudumu na milele cc Asigwa
 
kwa hio ubongo umefunikwa nya nyeti za kike kama kofia
 
Hapo hakuna ubishi Love is a miss understanding between two fools -wolter Trobish
 
ivi girls(some) si ndo huwaambiaga mama zao ''ungechelewa ningekuzaa''

ninachojua mtt wa kike hata apende vipi hawezi sahau kwao. ila wa kiume ndio huwa wanakana hata wazazi,
 
Back
Top Bottom