Haya maneno matatu ya kiswahili yananichanganya..Ujasusi..Ukachero..Ushushushu.Mwenye ufafanuzi Tafadhali!

Jasusi ni mpelelezi wa mienendo ya nchi nyingine katika nyanja zote km vile kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni,kijashi n.k., kachero ni mpelelezi wa baada ya tukio kutokea au jaribio lolote linaloweza kuwa kinyume na sheria za nchi husika na shushushu ni mpelelezi wa kazi au tukio maalum(special mission)
 
Back
Top Bottom