Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,530
- 13,469
Nimekuelewa mamaa..but kama umenielewa point yangu ni kwamba kuna baadhi ya watu wanayatumia haya maneno kuwadhoofisha wenza wao ili kufanya upuuzi.. wana "misuse". Mfano Mr wako kachelewa kurudi nyumbani.. karudi night kali unamuuliza kwa upole what happened ,,yeye analipuka ooh acha wivu wewe... jiamini bwana. mbona unanifuatilia ivyo .etc.
Nimekupa vyema tu, na ninakubaliana na wewe. Mkiwa na uhusiano you are responsible and accountable to one another jinsi mlivyokubaliana.
Na ktk hali inayofaa, ni vizuri kutoa maelezo kabla ya maswali; mf. Nitachelewa kurudi, nitakutext au kukupigia kabla kuwa ninafanya abcd ambayo itachukua muda. n.k!
Sasa mtu hatoi udhuru, na akiulizwa anajiwahi kwa ukali au kutumia hayo maneno ni poor defense mechanism ambayo mtu anaivumilia kwakuwa kakupenda na si kwakuwa umefanikiwa kumdanganya!