Haya mambo ya kuvutiwa sauti ya mtu kwenye simu

Haya mambo ya kuvutiwa sauti ya mtu kwenye simu

me ishawah nitokea kitu kama hii mkaka kakosea no
yuko tanga me nko dar akavutiwa na saut kanitongoza wee kwenye simu kumbuka bado hatujajuana
mimi sikua tayar kudate na mtu
simfaham sura
basi weee siku kafunga safar kuja dar kuniona duuu nilitok ndukii
mtu mwenyewe haendan na saut yakee daaaah ladies watchout
hao watu wa namna hii aseee

kumbe mnapendaga nini sasa kutoka kwetu?
 
Alikuwa na umri gani? Manake mambo ya hivyo hufanywa na watu either underage au hawajitambui. Kuonana na mtu sio dhambi, na hata ukionana nae haimaanishi kuwa mtakuwa wapenzi...so childish!!

Huwezi jua labda walishakubaliana jambo na binti alikuwa na expectation zake, so akawa shocked asijue la fufanya au namna ya kureact.
 
Ulikuwa unategemea awe na sura gani? Hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Katika siku uliyoharibu ni siku hiyo. Mwanaume jiamini, ungesalimiana nae, mkachonga moja mbili, kama hakuvutii sie wanaume tunajua jinsi ya kumkataa mwanamke usiyemtaka. Kwa kuzima simu na kutoka nduki hujamtendea haki, hao mara nyingine huwa na bahati akakuunganisha na biashara au jambo lolote la faina pasipo ww kumsholola, mnabaki marafriki.

U seem matured brother. Kumfanyia hivyo mwanamke ni kumsababishia kutokujiamini na ni kosa baya sana kwa binadamu mwenzio. Kwani ukiongea naye lazima muwe wapenzi?!
 
Unavyojua kinachotuvutia kwanza huwa ni sura au figure. Yanayofuata hapo kila mtu ana yake. Kwangu kifuatacho ni ubora kichwani. Hata tukijibizana hapa JF huwa tayari nimeshafahamu huyu ni kiwango gani.

Sasa ni enzi za elektonik. Unapigiwa simu na unapopokea unagundua ni simu iliyopotea njia. Lakini umeshapata namba ya simu na sauti umeisikia. Unaweza kuvutiwa. Nilishavutiwa na sauti na upweke ukanituma kuirejea incoming call list ya simu yangu ya kisasa kabisa! Nokia fulani ya kama laki 8. Nikaomba samahani kama yeye alivyofanya na nikakaribishwa. Nilichoomba ni kutaka kufahamu yuko wapi mwanadada. Nikajibiwa ni Moshi. Bahati nilikuwa njiani kuelekea Arusha na wakati huo niko Mombo kwenye vijiwe vya mulo wa wasafiri. Nikaomba tukutane mida ya saa 11. Nikakubaliwa.

Nilikaa karibu na kituo kikuu cha polisi pale moshi nikila. Watu waliingia na wengine kutoka. Nikahisi nimemuona huyo mwenye sauti nzuri akiingia. Kwa kutaka uhakika na baada ya kupata sms kwamba kishafika hapo, nikapiga ili tuangaliane. Bhana weeee! Aliyepokea huyoooo! Ni tofauti na ninayedhania. Sauti haikuendana na muhusika. Bila kupoteza muda nikazima simu yangu, soda nikaibugia haraka na kuwahi gari langu kwa safari ya Arusha.

Haikuwa vizuri kwa mwenzangu lakini uzalendo ulinishinda. Nadhani pamoja na mitandao, hebu turudi kwenye enzi za kufahamiana uso kwa uso.

yaonekana hujitambui wala kujielewa. utapenda wengi. hongera kwa kuwekeza kwenye......
 
Huwezi jua labda walishakubaliana jambo na binti alikuwa na expectation zake, so akawa shocked asijue la fufanya au namna ya kureact.

Nope, haijalishi mwonekano wa mtu. Huo mwonekano huubebi wala hulazimishwi kuwa na huyo mtu. So meeting the person for a cup of coffer au glass ya juice huku mkiongea, then mkaachana kwa amani ndio utu na ubinadamu. And that's why you're advised not to expect too much when going for a blind date.
Wanaowakimbia wenzao huku wana miadi ni malimbukeni na wajinga tu. I've met guys kupitia jf na sikuvutiwa kimapenzi na wote hao( I suppose hata baadhi yao hawakuvutiwa na mimi) but I treated them with dignity hadi tukaambiana kwaheri, some are close pals now.
 
Mmmh! Watu hutofautiana in so many ways, so reaction yako haiwezi kulingana na ya mwingine na huchangiwa na mambo mengi, umri,mazingira,makuzi n.k
When i was 18 i had a blind date ya aina hii nilichokuwa nakitarajia kikawa tofauti ila nilipomuona akili ya haraka ikaniambia nigeuze fastaa na cmu nizime ila nikawaza mtu kafunga safari toka mwanza to dsm it wont be fair, nikaonana nae tu ila mwisho wa siku alikataa kuwa just friends maana thats not wht he wanted from me, basi tukapotezeana, from there i never tried blind date
 
Kwa 18yrs old naelewa, kuna mengi ambayo katika maisha hajayajua. Ndio maana mtu akidate na 18- anatakiwa kutumia akili sana...but you were gentle angalau kuonana nae, kwenye simu tunapeana promises coz wengi tunaongozwa na hisia zaidi. Lakini sio lazima kutimiza hizo ahadi in real life.
Ndio kuna factors nyingi lakini don't tell me ukiamua kuonana na mtu blindly hujui madhara yake, so you gotta face the reality. Sio kukimbia watu.
 
Ulifanya kosa sana. Mie kuna mmoja alikosea namba mwana mama,ila nilimpokea vzr kweli ilivyokawaida yangu basi tukawa marafiki na sikuwahi kumtongoza wala yeye kunitongoza lkn nilihisi ni mtu mzima. Siku moja akiwa mwanza mie nikiwa dar akaniagiza hapa na kunipa pesa za kupeleka na tulikuwa hatujawahi kuonana. Nikapeleka hela na kumfanyia kazi yake. Nilipokuja kuonana naye baada ya miezi 4 akanisaidia kupata kazi fasta na maisha yanaendelea utadhani mtu na mwanaye hivi sasa. Usifanye kosa unapokutana na watu usiowafahamu lkn ukajua ni watu wazuri kiutu jambo haujapenda muonekano wao.
 
Kwa 18yrs old naelewa, kuna mengi ambayo katika maisha hajayajua. Ndio maana mtu akidate na 18- anatakiwa kutumia akili sana...but you were gentle angalau kuonana nae, kwenye simu tunapeana promises coz wengi tunaongozwa na hisia zaidi. Lakini sio lazima kutimiza hizo ahadi in real life.
Ndio kuna factors nyingi lakini don't tell me ukiamua kuonana na mtu blindly hujui madhara yake, so you gotta face the reality. Sio kukimbia watu.

Mmmh!! Kukimbiwa au kumkimbia mtu!! Cant emagine hayo maswali ambayo mtu atajiuliza, very bad
 
Mmmh!! Kukimbiwa au kumkimbia mtu!! Cant emagine hayo maswali ambayo mtu atajiuliza, very bad

atoto naomba blind date na weye!!! Teeh!!!
 
Last edited by a moderator:
Halafu mbona wrong no zote zinatokaga mkoa wa moshi...kuna nini..
Mie nnavidemu kama vi4 vyote vinatoka moshi kuna kimoja wakati kinakuja kuanza chuo hapo DUCE alihamia kabisa kwangu wiki nzima mpaka nilipomwambia aende chuo.
Na huyo alikosea mwenyewe tena kipindi bado yupo Advance Weruweru.
 
Kwa utafiti ambao sio rasmi ni kuwa, watu wa ukanda huu wanaumiliki na matumuzi ya simu kwa kuliko maeneo mengine ya nchi labda kwa variables zinaweza kuwa sababu za kiuchumi, "ujanja wa kufahamu mambo explosure", au wameanza kumiliki simu mapema.

Jiulize kuwa mkweli na nafsi yako, ulishapata mtu akakuambia amekosea namba yupo Mpanda, Namanyere, chakechake, uyui au Mbinga kwa Marehem Nambariwani?
 
Back
Top Bottom