Haya mambo utayaona Serengeti National Park pekee.

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
4,052
12,906
Haya mambo utayakuta Serengeti peke yake Duniani. Angalia Cheetah wakihang out na watu bila kuwadhuru.Watalii wakifurahia maisha ya mbuga yetu ya Serengeti.
Hii ilikua January 2018

Hii ilikua juzi tarehe 2.8.2018

Jamani tutembelee mbuga ya Serengeti kuona vivutio kama hivi. Huwezi kupata mambo kama haya popote Duniani.
 
Duuu hii kali kwa kweli
 
Hizi picha ndio maana siwezi tembelea hizi mbuga. Mnyama ni mnyama, unyama ukimjia hapo hauna chako.
 
Mnyama ameshaitwa chita:D
Anaweza kukusaliti mda wowote mbele ya ao wazungu
 
I love my country Tanzania sooooo much walahi
B0BBDCC3-1084-43EC-8E65-E40DBE1E7AF4.jpeg
 
Haya mambo utayakuta Serengeti peke yake Duniani. Angalia Cheetah wakihang out na watu bila kuwadhuru.Watalii wakifurahia maisha ya mbuga yetu ya Serengeti.
Hii ilikua January 2018

Hii ilikua juzi tarehe 2.8.2018

Jamani tutembelee mbuga ya Serengeti kuona vivutio kama hivi. Huwezi kupata mambo kama haya popote Duniani.
Tz utapata yote haya.
IMG_20160912_190113_747.jpg
 
Back
Top Bottom