Haya mambo utayaona Serengeti National Park pekee.

Mkuu hao wapo kama sita hivi hawana madhara wakiona gari ipo wazi wanaikimbilia na kuingia ndani na wengine kupanda juu madereva karibu wengi wanawajua na wanawauliza wageni kama wanapendelea ili wawapitishe maeneo hayo kwa hao Mimi siwaogopi Simba na Tembo hapana hata wawazoee vipi binadamu siwachezei kabisa..nakumbuka mwaka 2000 alikuepo Tembo living Stone mjini upande wa Zimbabwe walikua wanapishana nae tuu alikua mkubwa sana nilimuogopa niliposhuka kwenye basi kwenda kununua vitu kwenye maduka yao nilikua namvia sehemu ya kupita ila wenyeji wanapishana nae tuu mwaka 2002 nilisikia alitaka kumuua mtu ilibidi auawe kwa kupigwa risasi maana hata akipelekwa porini alikua anarudi mjini..
 
Back
Top Bottom