- Nov 14, 2010
- 2,114
- 1,384
Come rain come shine you are forever-a-babe.Naona Paw amepunguza mapenzi kidogo, namrusha roho asije akanichukulia poa wakati im forever-a-babe
Watajiju sana tu!
Come rain come shine you are forever-a-babe.Naona Paw amepunguza mapenzi kidogo, namrusha roho asije akanichukulia poa wakati im forever-a-babe
mwanamke maneno bibi wee
Mtu pekee mwenye Hummer JF nzima ni watu8 tu...
Aisee kumbe...mim namsaka mwenye Lamborghini Aventador LP 700-4 unamjua yoyote humu jf anaemilik hilo??
Watajiju sana tu!
Aisee kumbe...mim namsaka mwenye Lamborghini Aventador LP 700-4 unamjua yoyote humu jf anaemilik hilo??
Hahaha..naomba uniazime eti walau kwa wiki nizunguke nalo mjini
Kuna mtu wataka kumrusha roho eeee unataka mwenzio.afe na puresha,yaan mi usingiz umekata lo
Baby brenda18 nilimwazima mshkaji juzi, cheki alichokifanya:
![]()
But it's ok bora uhai. Nasubiri insurance wanilipe. Ila at the moment wakati tunasubiri niko kwa hii, si poa tu darlin?
![]()