Haya makavu live (Part 2)

Haya makavu live (Part 2)

Hahaha...yaani umepatia, hebu nipatie namba yako nikuingizie kaem'pesa kidogo...
Bahati mbaya hako ka-Hummer kameangukiwa na lile ghorofa, ila hilo halinipi shida maana inshuarensi itakava...

Mweehh alafu unaishi obay, si eti eehh? alafu na na..... naomba umalizie yale mengine watu8
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha, MbN unatoa Makavu Laivu na wewe siku hizi? Wape shosti! lol


Joti ameniambukiza mwenzio,najiandaa kuwa kungwi wa JF MMU, hebu nifanyie evaluation...ninafaa?niongeze wapi na nipunguze wapi?
 
Hahahahahahahahahahaha Tuko, andika maelezo not less than page moja ya why umekuwa interested kunioa....in other words motivation letter..then ipitishwe na babu yangu Mtambuzi ndipo inifikie , linawezekana hilo??
We si umesema mwanaume wa ukweli hana maneno mengi...lol
 
Hahahahaaaa mie wa MUNGAI bhana aliekataza Kilimo shuleni na bakora.......hahahaha una visa wewe Mpwa ila bado you sound Cute na bado una nafasi hio hio niliyokuwa nimeitaja hapo juu kwamba kama ningekuoa nisingenunua muerdio mukubwa kubwa....just kidding Dear
Ndo maana ukaambiwa from somewhere to you, ina maana sio from ME., siku ingine soma uelewe.!.wewe ni wale wa ile 60% ya mulugo nini?
 
From somewhere to you....
Mwanaume mkweli hanaga MANENO MENGI,ANAONGEA MANENO MACHACHE,NA ANATENDA MAKUBWA KULIKO ALIYOSEMA...HAPROMISE SANA,ILA ANADELIVER MORE THAN HIS PROMISES..

Mwanaume mkweli hana MIKOGO,HANA MBWEMBWE,HANA SWAGGER KWAMBA YEYE NI FULANI NA ANA NINI,AU ANA HELA FULANI,KAMA AMEKUPENDA ATAKUWA STRAIGHT KWAKO KWAMBA ANAKUPENDA,KISHA ATAKUSIKILIZA....UKIONA MBWEMBWE NA MDUNDIKO,MANENO LEPELEPE TANI 8 ZA MCHANGA,NA ADVERTISE NYINGI JIULIZE,KULIKONI KWANI TUNATENGENEZA MOVIE?

Na nyie wanawake muwe MNAELEWA,MSIPENDE SANA UONGO,HADI MUWEKEWE PEREMENDE NDO MJUE PALE PANA UTAMU,UNAJIFANYA HUELEWI HESABU HADI UPEWE FOUR FIGURE NA KOMPASI,ULIONA WAPI MBILIMBI ZIKALIMWA KIBORORONI,MNAPENDA SANA MANENO NDO MAANA MNADANGANYWA,MTU AKIWA STRAIGHT MNAHISI JAMAA BWABWA MBONA SIO KAWAIDA..KUZOEA KWENU KAWAIDA NDO KUNAKOFANYA MAUMIVU YA MAPENZI YAWE KAWAIDA KWENU,ETI MBONA HUYU MKAKA HATA HAONGEI,ITAKULA KWENU


Hizi post za mid night si hivihivi kuna jambo...
 
Joti ameniambukiza mwenzio,najiandaa kuwa kungwi wa JF MMU, hebu nifanyie evaluation...ninafaa?niongeze wapi na nipunguze wapi?

Penye nia pana njia, that is all I can say. tena umenikumbusha, ngoja nikutumie PM
 
Hizi post za mid night si hivihivi kuna jambo...

Kuna kijana alijisahau akahisi yuko kaole, wacha ashushe vina na mistari, mie nkabaki mdomo wazi, heeh alivyomaliza tu ikanibidi niombe airtime JF fasta
 
Hahahahaaaa mie wa MUNGAI bhana aliekataza Kilimo shuleni na bakora.......hahahaha una visa wewe Mpwa ila bado you sound Cute na bado una nafasi hio hio niliyokuwa nimeitaja hapo juu kwamba kama ningekuoa nisingenunua muerdio mukubwa kubwa....just kidding Dear

Nakuimbia na wimbo oohh baby will you marry me , say that you will marry me...wa mavoko
 
yah....mwanaume wa kweli hajishebedui.......kujifanya kuwa hivi kumbe yupo vile......kapuku......

preta umeniita eeh???!...nena mama mtumishi wako nakusikiliza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom