Haya makavu live (Part 2)

Haya makavu live (Part 2)

Ha ha ha acha uchokozi bana wewe ulikuwa kupokei simu yangu ujue.........

Ngoja nikudipu zaidi maana nimefulia kinoma
Eeewaaa..... hayo ndo mambo sasa!
Wine yako ipo hapa kwenye droo!!
 
kufanya nini..?kwani wewe ni Taxi driver..?

Preta ukuje huku mwayego unijibie haya maswali...kila nikiigilizia kwenye foo figa na atilasi naona sioni longitudo na latitudo
 
Last edited by a moderator:
**Sie wa masaki naona inatuwia vigumu sana kuelewa thread kama hizi (joke)
Napita bandugu
 
Ningekuwa nimeoa mwanamke kama wewe nisengenunua REDIO wala kulipia KISI-MBUSI maana duh hapa umeandika tu BUT mmmmh haya sasa ukiwa LIVE inakuaje? Sipati picha hao majirani na mahausigeli wangekukomaje???/ CC: MANI

mpwa Elli sipati picha ndo kaambiwa uko nyumba ya jirani unaongea na jirani jinsia tofauti na wewe.. kama jumamosi na kwa jirani kuna sherehe hamna hata haja ya kuweka taarab..
 
Last edited by a moderator:
Ningekuwa nimeoa mwanamke kama wewe nisengenunua REDIO wala kulipia KISI-MBUSI maana duh hapa umeandika tu BUT mmmmh haya sasa ukiwa LIVE inakuaje? Sipati picha hao majirani na mahausigeli wangekukomaje???/ CC: MANI

Ndo maana ukaambiwa from somewhere to you, ina maana sio from ME., siku ingine soma uelewe.!.wewe ni wale wa ile 60% ya mulugo nini?
 
HE!......mimi mbona nilitongozwa na mtu humu JF akaniambia anaendesha Hummer......cologne anapulizia Clive Christian No 1.......baba yeke ni nanihiii.....hivi atakuwa hasemi ukweli....? na ujue haongei kiswahili vizuri japo hajawahi kuvuka hata border ya Namanga....... Mrembo by Nature....think twice before you post things like this.......

Preta haya sio maneno yangu, ni ya mtu anaitwa somewhere, special kwa mtu anayeitwa YOU
 
Mrembo by nature nakupenda. Nataka kukuoa. Unasemaje?...

Hahahahahahahahahahaha Tuko, andika maelezo not less than page moja ya why umekuwa interested kunioa....in other words motivation letter..then ipitishwe na babu yangu Mtambuzi ndipo inifikie , linawezekana hilo??
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahaha
daa haya madongo si mchezo japo kuna ukweli! Muda mwingine maongezi yana nogesha ila vitendo muhimu!
 
Hahahaha, MbN unatoa Makavu Laivu na wewe siku hizi? Wape shosti! lol
 
Hapa pa kupaangalia tu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom