Haya makavu live (Part 2)

Haya makavu live (Part 2)

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,160
From somewhere to you....
Mwanaume mkweli hanaga MANENO MENGI,ANAONGEA MANENO MACHACHE,NA ANATENDA MAKUBWA KULIKO ALIYOSEMA...HAPROMISE SANA,ILA ANADELIVER MORE THAN HIS PROMISES..

Mwanaume mkweli hana MIKOGO,HANA MBWEMBWE,HANA SWAGGER KWAMBA YEYE NI FULANI NA ANA NINI,AU ANA HELA FULANI,KAMA AMEKUPENDA ATAKUWA STRAIGHT KWAKO KWAMBA ANAKUPENDA,KISHA ATAKUSIKILIZA....UKIONA MBWEMBWE NA MDUNDIKO,MANENO LEPELEPE TANI 8 ZA MCHANGA,NA ADVERTISE NYINGI JIULIZE,KULIKONI KWANI TUNATENGENEZA MOVIE?

Na nyie wanawake muwe MNAELEWA,MSIPENDE SANA UONGO,HADI MUWEKEWE PEREMENDE NDO MJUE PALE PANA UTAMU,UNAJIFANYA HUELEWI HESABU HADI UPEWE FOUR FIGURE NA KOMPASI,ULIONA WAPI MBILIMBI ZIKALIMWA KIBORORONI,MNAPENDA SANA MANENO NDO MAANA MNADANGANYWA,MTU AKIWA STRAIGHT MNAHISI JAMAA BWABWA MBONA SIO KAWAIDA..KUZOEA KWENU KAWAIDA NDO KUNAKOFANYA MAUMIVU YA MAPENZI YAWE KAWAIDA KWENU,ETI MBONA HUYU MKAKA HATA HAONGEI,ITAKULA KWENU
 
Duuh ama kweli hayo ni makavu live. Haya tena wahusika nadhani wamesikia habari ndio hiyo.
 
Nakuaminia mzabzab kwa vitendo, hunaga kuremba ati, huna uongo wewe ni full ukweli kwamba ni mgegedaji tu ndoa ataisoma vitabuni na kwenye magazeti

ya nini tudanganyane.....wanajidai wanataka ndoa waishia kugegedwa tuu mpaka anaolewa papuchi ilishapitiwa na mijanaume kibao....sasa sii bora utoe na kuenjoy bila expectations za ndoa
 
Ningekuwa nimeoa mwanamke kama wewe nisengenunua REDIO wala kulipia KISI-MBUSI maana duh hapa umeandika tu BUT mmmmh haya sasa ukiwa LIVE inakuaje? Sipati picha hao majirani na mahausigeli wangekukomaje???/ CC: MANI
From somewhere to you....
Mwanaume mkweli hanaga MANENO MENGI,ANAONGEA MANENO MACHACHE,NA ANATENDA MAKUBWA KULIKO ALIYOSEMA...HAPROMISE SANA,ILA ANADELIVER MORE THAN HIS PROMISES..

Mwanaume mkweli hana MIKOGO,HANA MBWEMBWE,HANA SWAGGER KWAMBA YEYE NI FULANI NA ANA NINI,AU ANA HELA FULANI,KAMA AMEKUPENDA ATAKUWA STRAIGHT KWAKO KWAMBA ANAKUPENDA,KISHA ATAKUSIKILIZA....UKIONA MBWEMBWE NA MDUNDIKO,MANENO LEPELEPE TANI 8 ZA MCHANGA,NA ADVERTISE NYINGI JIULIZE,KULIKONI KWANI TUNATENGENEZA MOVIE?

Na nyie wanawake muwe MNAELEWA,MSIPENDE SANA UONGO,HADI MUWEKEWE PEREMENDE NDO MJUE PALE PANA UTAMU,UNAJIFANYA HUELEWI HESABU HADI UPEWE FOUR FIGURE NA KOMPASI,ULIONA WAPI MBILIMBI ZIKALIMWA KIBORORONI,MNAPENDA SANA MANENO NDO MAANA MNADANGANYWA,MTU AKIWA STRAIGHT MNAHISI JAMAA BWABWA MBONA SIO KAWAIDA..KUZOEA KWENU KAWAIDA NDO KUNAKOFANYA MAUMIVU YA MAPENZI YAWE KAWAIDA KWENU,ETI MBONA HUYU MKAKA HATA HAONGEI,ITAKULA KWENU
 
Last edited by a moderator:

HE!......mimi mbona nilitongozwa na mtu humu JF akaniambia anaendesha Hummer......cologne anapulizia Clive Christian No 1.......baba yeke ni nanihiii.....hivi atakuwa hasemi ukweli....? na ujue haongei kiswahili vizuri japo hajawahi kuvuka hata border ya Namanga....... Mrembo by Nature....think twice before you post things like this.......
 
Last edited by a moderator:
Nilijua tu utakuja kunichomea huku...haya P nimekoma sitarudia tena!!

HE!......mimi mbona nilitongozwa na mtu humu JF akaniambia anaendesha Hummer......cologne anapulizia Clive Christian No 1.......baba yeke ni nanihiii.....hivi atakuwa hasemi ukweli....? na ujue haongei kiswahili vizuri japo hajawahi kuvuka hata border ya Namanga....... Mrembo by Nature....think twice before you post things like this.......
 
Last edited by a moderator:
Mtoa mada una tatizo na Bishanga?
Mbona maudhui yako yote ni kama umemlenga?
Mi sitotia neno hapa, hadi nione Bepari amechangia nini!
 
Last edited by a moderator:
Chondechonde jamani naomba unisitiri, hivi unajua mie mkubwa mwenzio na ninapewa shikamoo. Sasa ukimwaga zile porojo zangu hapa si nitahadhirika mie....

halafu nimekunyamazia mengi ujue.......au niseme......?
 
Chondechonde jamani naomba unisitiri, hivi unajua mie mkubwa mwenzio na ninapewa shikamoo. Sasa ukimwaga zile porojo zangu hapa si nitahadhirika mie....

basi muwe mnaongea ukweli.....wanaume wa JF mna mambo sana.....ngoja niishie hapa kwa leo.......
au niendelee......?
 
Loh!! hii dozi ya leo inanitosha wala usiendelee...hahah!!!

basi muwe mnaongea ukweli.....wanaume wa JF mna mambo sana.....ngoja niishie hapa kwa leo.......
au niendelee......?
 
kina dada ndo wanayataka. mdada unachomekewa story za ma-love, anaanza mizinga hapohapo, yaan day one yeye anataka nauli, na hela chips kuku, brother (sharo) akicheki hana anapiga swagger!!! jamaa next time ana azima mkoko na kisha anakopa, au hata kumpiga kiburua kupata hela ya matumizi, mdada akiona hivyo anajua ndo hapa pa kufaidi kumbe yeye ndo analiwa!!!
Huku mtaani kwetu vijana wanaliza madada kwa pamba na mikogo, hela na kazi hazijulikan kisa ni kutaka 5,000, 10,000!! na aahadi kibao!
Mrembo by Nature wewe umeona wapi mdada analala hotel 80,000@night, supu asb na kinywaji cha jana usiku, nondoka na 5,000. huyo sijui utamsaidiaje?
Sp
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom