Haya majimbo yatakuwa wazi kabla ya 2015

Huu uzi umekaa kichawi au kiwanga hivi. Nafikiri wachawi huwa wanaku kama fisi, kufuatilia mikono ya binadamu labda itaanguka. Hii mbaya.
 
kuna huyu anaitwa stephen kebwe kebwe-serengeti,aliwahi kujificha kijijini kwake masinki wakati waziri mkuu alipofanya ziara serengeti na kudai yupo marekani,wenzake wameanza mikakati ya kumfyeka na wanamwandaa kilaza mmoja anaitwa mathayo x-mp wa musoma mjini
 
Steven Maselle muongo na mchawi Steven Wasira mgonjwa wa usingizi ndani ya mjengo Steven Maselle Mabumba hayuko makini Ngeleja Mtoto wa upako wa mafisadi Mwiguli Mchemba mla vya watu na vyake pia vitaliwa
 
January Makamba - Pombe...

Dr. Mwakyembe - Ngozi kunyonyoka

Prof. Mwandosya - Uchovu, Usingizi

Sophia Simba - UWT Imevunjwa
 
Hii tathimini nimeifanya kutokana na tabia zao na maisha wanayoishi,ongezea wa kwako!

Peter serukamba--kigoma--kiburi cha uzima(ushamba)

Abdala kigoda--Handeni--ulevi lazima umtoe

Adam kigoma malima--mkuranga--kubadilisha majini,baada ya sheikh yahaya kufa amepata mganga mwingine na majini yatamtoa

John chenge--bariadi--mshtuko wa matokeo ya kuvuliwwa gamba

Anne semamba makinda--njombe-tamaa ya kuolewa

Anne kilango malecela--same--=tamaa ya kurithi mali za bwanake zitafanya watoto wa bwanake wamtoe

Augustino laytonga mrema-himo--kisukari na kale kaugojwa ketu

Ezekiel maige--msalala--kujipendekeza

Gabriel makala--mvomero--kujirusha na tamaa ya wanawake

George mkuchika--newala--roho mbaya

Hery shekifu-lushoto-anajua mwenyewe sitaki kutaja hapa

John mmomose cheyo-bariadi--tamaa na usanii

Jonh chiligati-manyoni-
roho mbaya na uchawi


daah! hiyo ya chiligati imeniacha hoi.
 
Back
Top Bottom