Haya majambazi jamani sasa kero

Original Pastor

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
1,274
50
Wana JF

Nipo hapa Himo nilikuja Kufungua Kanisa langu jipya ila nimeona Hiki kinatugusa wote Hapa kwenye Posta Ya Himo Moshi Kilimanjaro Majambazi yamevamia na yameiba hela zote ambazo zilikuwa Kaunta na Kumjeruhi Vibaya Postamaster na amekimbizwa Town Hospitali ya mawezi. Yaani utazania picha flani hivi maana ilibidi sisi tulale Chini ya uvungu wa Kari. Na ukizingatia ni karibu na Makao MAkuu ya Polisi hapa Himo. wenye Data zaidi
 
Back
Top Bottom