BIG X
JF-Expert Member
- Nov 4, 2011
- 777
- 212
- Nashindwa pata Elimu sababu wazazi wangu hawana uwezo wa kunipeleka shule ingawa nimefaulu vizuri.
- Sijulikani, sina uwezo wa kuongea shida zangu nikasikika.
- Nikishiriki maandamano ya amani kwa nia ya kusema kilicho moyoni napigwa mabomu na virungu kama vile sio mtanzania.
- Nilifikiri KATIBA mpya ingeweza kuniokoa lakini naona hizo ndoto zinaanza kupotea.
- Nimejikamua ili niweze kushiriki JF na kusema yaliyopo moyoni mwisho wa siku napigwa ban.
Haya maisha yashakuwa magumu, Mimi nitakuwa mgeni wa nani jamani!!!