Haya maisha yameshakuwa magumu!!!!

Haya maisha yameshakuwa magumu!!!!

BIG X

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2011
Posts
777
Reaction score
212
  • Nashindwa pata Elimu sababu wazazi wangu hawana uwezo wa kunipeleka shule ingawa nimefaulu vizuri.
  • Sijulikani, sina uwezo wa kuongea shida zangu nikasikika.
  • Nikishiriki maandamano ya amani kwa nia ya kusema kilicho moyoni napigwa mabomu na virungu kama vile sio mtanzania.
  • Nilifikiri KATIBA mpya ingeweza kuniokoa lakini naona hizo ndoto zinaanza kupotea.
  • Nimejikamua ili niweze kushiriki JF na kusema yaliyopo moyoni mwisho wa siku napigwa ban.

Haya maisha yashakuwa magumu, Mimi nitakuwa mgeni wa nani jamani!!!
 
Hivi ndio hii!! vidole vimeteleza..............

huna lolote. Ngoja olive, dena, black woman na wale wote waliokuwa kule waje wakupe mapande yako. Mi sahv cjickii kuongea sana.
 
Hivi hapa ni jukwaa gani vile??????

Umepotea kijana..lol
 
Yani nyie wote vilaza!!!
 
Yani nyie wote vilaza!!!
Yan wewe ndie kilaza namba moja coz umetapika afu ukayarudia matapishi yako ukala na hapo ulipo umeshiba matapishi..

Haya tuambie ingekuwa vipi kama chit chat ingefungwa? Hilo sredi lako la kujikatia tamaa ungelibandika wapi? Manake mmu halilipi wala kwenye siasa halifai...

Chit chat OYEEeeeee!
 
Sijapata ona kilaza kama wewe. umeshindikana.
 
Back
Top Bottom