nitatoboa kweli
Senior Member
- Jul 15, 2023
- 137
- 454
mechanics mkuu.Pole, ujuzi uliosomea veta ni upi?
Acha kujifananisha na watu, na wao wana yao ambayo ukiyapewa hutoyaweza vilevile.
Acha kukata tamaa mapema kuna wenzio wapo beyond 40 na wanategemea ndugu acha kukata tamaa kirahisi hivyohaiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu niaibu mtoto wakiume
sawa mkuuJipe moyo, utatoboa mkuu! pambania ndoto zako kwa juhudi na maarifa huku ukimshirikisha Mungu wako umri bado unakuruhusu !
Ndio ukimaliza Veta umetoboaPole sana mkuu, mbona wanasemaga Veta ni nafuu...
Mechanics ndio ufundi magari? Mbona hata vibarua kwenye magereji ni vingi sana mdogo wangu, kwani unaishi wapi? Jichanganye na watu……mechanics mkuu.
nimejifunza lakini kazi kupata ngumuPole sana mkuu, mbona wanasemaga Veta ni nafuu...
Wekapo basi kapichawakuu ingekua kujiua sio zambi ningejiua tuu maana Sasa maisha yananinyoosha
najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wamwisho chuo Mimi sinalolote lamaana dah
najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali kidogo
hatachakula sitamani kwamawazo dah
yanisielewi asubuhi niende kuomba kazi wapi aisee
ngojatu niche zambi kama miaka miwili niwe mtu waibada kwasana then najigongesha rod niepukane na haya mahangaiko
haiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu niaibu mtoto wakiume
Acha ujinga, hujui wanaharakati wa kupinga bandari wanachangiwa pesa? Wewe kaa stari wa mbele ukikamatwa utachangiwa pesa.wakuu ingekua kujiua sio zambi ningejiua tuu maana Sasa maisha yananinyoosha
najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wamwisho chuo Mimi sinalolote lamaana dah
najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali kidogo
hatachakula sitamani kwamawazo dah
yanisielewi asubuhi niende kuomba kazi wapi aisee
ngojatu niche zambi kama miaka miwili niwe mtu waibada kwasana then najigongesha rod niepukane na haya mahangaiko
haiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu niaibu mtoto wakiume
Hadi veta? Kuna watu ndo wanataka wakimbilie huko. Kweli Hali si shwariwakuu ingekua kujiua sio zambi ningejiua tuu maana Sasa maisha yananinyoosha
najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wamwisho chuo Mimi sinalolote lamaana dah
najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali kidogo
hatachakula sitamani kwamawazo dah
yanisielewi asubuhi niende kuomba kazi wapi aisee
ngojatu niche zambi kama miaka miwili niwe mtu waibada kwasana then najigongesha rod niepukane na haya mahangaiko
haiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu niaibu mtoto wakiume
ndio mkuu.naishi dar kujichanganya najichanganya sema tunafanya kazi kwa ujira mdogo sana hadi mtu unajiuliza nitatoboa kweli kahela hii?Mechanics ndio ufundi magari? Mbona hata vibarua kwenye magereji ni vingi sana mdogo wangu, kwani unaishi wapi? Jichanganye na watu……
Godfrey Zambi?wakuu ingekua kujiua sio zambi ningejiua tuu maana Sasa maisha yananinyoosha
najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wamwisho chuo Mimi sinalolote lamaana dah
najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali kidogo
hatachakula sitamani kwamawazo dah
yanisielewi asubuhi niende kuomba kazi wapi aisee
ngojatu niche zambi kama miaka miwili niwe mtu waibada kwasana then najigongesha rod niepukane na haya mahangaiko
haiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu niaibu mtoto wakiume
Tafta kaMkopo Kamoja cha KAUSHA DAMU utachangamka tu Automatically na hata wazo la kujiua litaimarika zaidi liwe bora.wakuu ingekua kujiua sio zambi ningejiua tuu maana Sasa maisha yananinyoosha