alinikumbusha mzee matungucha
Wale vijana wa kmr mzee wetu amefariki nahisi wamemzika jnne hii
Alikuwa na bar kubwa pale kmr mwisho
Kushoto
Ukishuka ukapanda kaghorofa kuagiza kinywaj unamkuta kala pensi lake na t-shirt ya kwaida kabisa kaweka kabia kake pemben kama sio mmiliki