Adrian2716
Member
- Oct 23, 2023
- 98
- 293
POLE MKUUWahenga walisema kua uyaone na kweli nimeyaona natamani hata nisingekuwepo duniani. Nimepiga kitabu kwa bidii diploma G.P.A ya 4 degree 4.0 na sioni muelekeo wowote.
Wakuu kitaa ni kugumu natamani hata niyeyuke nilisoma accounting and finance na sioni ikininufaisha kwa chochote, nawaza kwanini nilizaliwa
Mkuu usichoke bali ni muda wa kupambana zaidi hakuna jambo jepesi duniani. Hata ukipata kazi bado kuna ugumu utatokea kukuchallange. Ila muhimu pambana na jihusishe au jumuika na watu mwanzo mgumu. Mitaa ina tactics zake usitukie akili ya darasani. Ishi na watu wa mtaa vzr then watakupa mbinu za kitaa au utaziona. Kuwa tayari kujifunza kwa watu wa mtaa ila sio kila mtu wa mtaa umwamini hiyo hapana. Angalia wenye uthubutu na wenye kutambua nn wanafanya kwa mtaaWahenga walisema kua uyaone na kweli nimeyaona natamani hata nisingekuwepo duniani. Nimepiga kitabu kwa bidii diploma G.P.A ya 4 degree 4.0 na sioni muelekeo wowote.
Wakuu kitaa ni kugumu natamani hata niyeyuke nilisoma accounting and finance na sioni ikininufaisha kwa chochote, nawaza kwanini nilizaliwa
nilienda TRA nikapata 78 na sikuitwa walichukua kuanzia 80...Umewahi kuitwa kwenye interview? Na kama huwa unaanguka kwwenye interview unafeli jua hiyo GPA ulikuwa unakariri tu darasani
😂😂😂Wahenga walisema kua uyaone na kweli nimeyaona natamani hata nisingekuwepo duniani. Nimepiga kitabu kwa bidii diploma G.P.A ya 4 degree 4.0 na sioni muelekeo wowote.
Wakuu kitaa ni kugumu natamani hata niyeyuke nilisoma accounting and finance na sioni ikininufaisha kwa chochote, nawaza kwanini nilizaliwa
daaaahKwani nani alikuambia ukasome hakuna , ulijiendea ,mwenyewe , jingine ungesema awali miezi kuanzia january hadi june ungepata kazi ndugu yangu alikuwa anatafuta muhasibu mshara 1. 2ml sasa kapata na kuna matangazo yalikuwa yanatokea ya watu waliosomea uhasibu mengi saivi unasema funga mwaka nani akuajiri
Pole mkuu,Wahenga walisema kua uyaone na kweli nimeyaona natamani hata nisingekuwepo duniani. Nimepiga kitabu kwa bidii diploma G.P.A ya 4 degree 4.0 na sioni muelekeo wowote.
Wakuu kitaa ni kugumu natamani hata niyeyuke nilisoma accounting and finance na sioni ikininufaisha kwa chochote, nawaza kwanini nilizaliwa
mkuu nifanyie mchakato tuje kusafirisha woteNilikimbia chuo mwaka wa kwanza.Nipo tu huku mtaani nahakikisha vifurushi vya watu vinatoka dsm vinafika mikoani kwa usalama.
sawa sawa mkuuPole mkuu,
Mimi ni kati ya watu waliomaliza chuo wakiwa na gpa ndogo kweli. Nlisoma kozi siipendi kwa shinikizo la mzee plus nikafika chuo nikawa na mambo mengi. Sup za kutosha kila semister na course ilikuwa ngumu kweli watu kibao waka disco nashangaa hata nlitoboaje miaka 3.
Sasa kwakuwa nilijua gpa yangu ni ndogo sana nlijua siwezi compete na wenye ma gpa yao.
Niliamua kutafta njia zangu na kufanya vitu vingine. Luckily baada ya hapo nimewahi kuajiriwa sehemu 3 na kote huko sikuwahi kuulizwa cheti maana bali tu watu wananiajiri kwa experience au reference.
So, mkuu usikate tamaa maisha ni kupambana mlango huu ukizingua unacheki hata dirisha kama unaweza kupenya
shame... shame..Nilikimbia chuo mwaka wa kwanza.Nipo tu huku mtaani nahakikisha vifurushi vya watu vinatoka dsm vinafika mikoani kwa usalama.
Sina oda nyingi mkuu kwa sasa.Nikiwa nazo basi tutashare ridhiki.mkuu nifanyie mchakato tuje kusafirisha wote
Eh unashangaa home movies ili iweje??daaaah
Umewahi kuitwa kwenye interview? Na kama huwa unaanguka kwwenye interview unafeli jua hiyo GPA ulikuwa unakariri tu darasani
Shame for what?shame... shame..