Haya magazeti saa zingine hizi typing errors zitawacost....!!!

Hilo neno pia kwa wahariri?
 
Gazeti gani hilo?

Tiba
 
Huku ni kufanya kazi ki mazoea tu, huwezi ukatype kitu kama hicho alafu ukashindwa kuhariri.. Bora hata ingekuwa ndani ya habari lakini KICHWA CHA HABARI?. Masihala haya.....
 
kwel kabisa mkuu
 
another typing error, masihala au masihara?
 
Huku ni kufanya kazi ki mazoea tu, huwezi ukatype kitu kama hicho alafu ukashindwa kuhariri.. Bora hata ingekuwa ndani ya habari lakini KICHWA CHA HABARI?. Masihala haya.....

Alafu? Ndo wale wale tu!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…