Haya mabenk ya NMB bwana kimeom tupu...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya mabenk ya NMB bwana kimeom tupu......

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by harakat, Dec 1, 2011.

 1. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Jana toka asubuhi liii netwok la banka Hii lilileta shida kubwa na
  baadhia ya watu tulishindwa kujiachiaa kwa kukosa fedha mifukoni
  adha hii ilitokea tangu asubuhi mapaka kwenye saa tisa usiku
  wa kuamkia leo kutokana na chanzo changu cha kuthibitisha habari
  hii mhudumu mmmoja wa benk hii niliyeongea nae jana saa moja
  jioni aliniambia kwamba ni suala la netwok kuna kipande cha fibre optic
  (mkonga wa mawasiliano) kimekatwa sehemu na ndio maana inaleta shida

  Dukuduku langu ni kwamba kama ATM sio reliabo yaani hazina huduma ya
  kuaminika tutumie nini?
  na inapotokea suala kama hili wanafanya nini wahusika?
   
 2. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Backbone ya fiber optic dodoma ilikatwa na nmb network yao inadepend 99% na ttcl ndo mana matatizo yalikuwa makubwa
   
Loading...