Haya mabadiliko kwenye account yangu ya HESLB yananichanganya

Mkwawa mnyalukoro

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
232
136
Wanabodi hali tete inayoutetemesha mwili wangu ni baada ya kufungua account yangu ya HESLB na kukuta sehemu ambayo niliattach vielelezo vyangu kuonekana sikuaatach hiyo sehemu nyekundu ilizungushiwa yaani natamani niattach tena lakini fomu ilishaenda hivi wadau hii inaweza kuniletea madhara na ndoto zangu za kusoma UDSM kupotea?

Msaada wa mawazo wakuu nimechanganyiwa
8ade3e7921b26df5c5cca655fa257ba3.jpg
 
Wanabodi Hali tete inayoutetemesha mwili wangu ni baada ya kufungua acc yang ya heslb na kukuta sehem ambayo niliattach vielelezo vyangu kuonekana sikuaatach hiyo sehem nyekundu ilizungushiwa yaan nataman niattach tena lkn fomu ilishaenda hivi wadau HII inaweza kuniletea madhara na ndoto zangu za kusoma udsm kupotea?

MSAADA wa mawazo wakuu nimechanganyiwa
8ade3e7921b26df5c5cca655fa257ba3.jpg
Yasikupe shida wenzako walikuta hvy ktk account zao na wamepata mkopo!
 
wengi hatukuattach vyeti na mkopo tumepata, Tulia tu mkuu na usubiri second batch..kama Ipo tuu.....na vice versa pia
 
Hiv wakikuandika not allocated for first batch ,ndio umekosa kabisa au
 
Wanabodi Hali tete inayoutetemesha mwili wangu ni baada ya kufungua acc yang ya heslb na kukuta sehem ambayo niliattach vielelezo vyangu kuonekana sikuaatach hiyo sehem nyekundu ilizungushiwa yaan nataman niattach tena lkn fomu ilishaenda hivi wadau HII inaweza kuniletea madhara na ndoto zangu za kusoma udsm kupotea?

MSAADA wa mawazo wakuu nimechanganyiwa
8ade3e7921b26df5c5cca655fa257ba3.jpg
Acha wenge dogo subir batch 2,,
 
Back
Top Bottom