Haya kumekucha!

Haya kumekucha!

kimbwe

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Posts
707
Reaction score
213
wachungaji na lowasa.jpg
 
Kama kawa kama dawa yuko wapi membe na waganga wake wa kimwera
 
Hahahaha, dah pesa noma.
Mcheki nyeupe alivyo tulia kando akiombewa. Nenda wew sasa, utarukiwa hadi vichwa.
 
Huyu jamaa hachoki maigizooo????
Jambazi sugu na fisadi papa lowasa kamwe hawezi kuwa rais wa tz. Ni mwizi ana fitina hana hoja hawezi kujieleza. Hana ubobezi wa aina yoyote.
Nguvu yake kubwa ni kinunua watz kwa nguvu ya pesa.
 
Maccm mpo... huyu babu kaiweka ccm mkononi. Wapi vijana wa uvcc wapi nauye wapi makonda. Timu gani kali ndani ya maccm rafu nyingi.....
 
hawa ni wale manabii 400 wa ahabu wakimtabiria ahabu.
rushwa hupofushha akili neno hilo nimetimia machoni petu.

ahabu mwenyewe si alikua kapachikwa na wa assyria yule kama kibaraka vile
 
Back
Top Bottom