Haya kumekucha!

Haya kumekucha!

Hosea 4:6 "Watu Wangu Wanaangamia Kwa Kukosa Maarifa"
 
Njaa bora iishie tumboni ,lakini ikipanda kichwani huwa inaleta balaa zaidi kuliko hata njaa yenyewe....
 
Hii Economic Forum, kitu cha kwanza kitakachochoze ubunifu ni kuweka utaratibu wa kupatent ideas, na uvumbuzi. Watu wakijua kuwa wanaweza kufanikiwa wakigundua vitu na si mtu mwingine kufanikiwa basi watajitahidi kufanya utafiti na majaribio. The first project kwa kina mzee Iddi Simba ni kusukuma sheria ya Patent... kwani Patent ni zaidi ya copyright!!!

Nadhani amekuelewa
 
Pepo tokaaaa, bwana wa majeshi fsnya miujiza ili hili zee jinga jinga litupatie mihela mingi....pepo tokaaaaa!
 
Pepo tokaaaa, bwana wa majeshi fsnya miujiza ili hili zee jinga jinga litupatie mihela mingi....pepo tokaaaaa!

sipati picha sijui hiyo sauti ilikuaje, kwa maana ukiaangalia hiyo idadi watu wanaokemea, utawaweza kupima kiwango sauti.
 
Hapo wote wanampiga changa la macho tu, hakuna hata m1 anaeombea huyo mzee awe Rais!
 
Back
Top Bottom